xavihernandezalcantara
Senior Member
- Nov 17, 2020
- 124
- 132
SizaniKwangu mm Usher ni zaidi ya Chris Brown
Point nayoMhmhmh!
Unasemaje hii ni hit kali? Kwa uelewa wangu mdogo juu ya muziki, ili wimbo uwe ni hit kali basi uwe 'streamed' katika mitandao kwa kiasi kikubwa. Ushike namba za juu katika Chats za Billboard huko Marekani.
Na pia, upate tuzo nyingi katika mwaka husika kutoka kwa watayarishaji mbalimbali.
Sasa je, Chris Brown hivi karibuni katoa nyimbo zipi ambazo zinasumbua sana? Mara yake ya mwisho kushinda tuzo ni lini na kwa wimbo upi?
Anajitahidi, lakini bado.
Criss wanamfanyia mtima nyongo tu ..kwakuwa alimdunda Rihanna ... Lakini kwa uwezo hakuna msanii anayemfikia kwa kuimba kwa Sasa ... Imagine eti hata the weekend unakuta anaongoza kukaa ktik chat za muziki kuliko ngoma za criss brown Sasa hicho si kichekeshoMhmhmh!
Unasemaje hii ni hit kali? Kwa uelewa wangu mdogo juu ya muziki, ili wimbo uwe ni hit kali basi uwe 'streamed' katika mitandao kwa kiasi kikubwa. Ushike namba za juu katika Chats za Billboard huko Marekani.
Na pia, upate tuzo nyingi katika mwaka husika kutoka kwa watayarishaji mbalimbali.
Sasa je, Chris Brown hivi karibuni katoa nyimbo zipi ambazo zinasumbua sana? Mara yake ya mwisho kushinda tuzo ni lini na kwa wimbo upi?
Anajitahidi, lakini bado.
Breezy hatari mno,sema huyo The Weeknd nae mh sauti amaizing(michael jackson)Criss wanamfanyia mtima nyongo tu ..kwakuwa alimdunda Rihanna ... Lakini kwa uwezo hakuna msanii anayemfikia kwa kuimba kwa Sasa ... Imagine eti hata the weekend unakuta anaongoza kukaa ktik chat za muziki kuliko ngoma za criss brown Sasa hicho si kichekesho
Sasa msanii gani ana hits kali kumzidi Breezy? Hujajibu mkuuChris brown n jina tu ndio limebaki. Ni kama alikiba aliyechangamka.
๐๐๐๐BroKijiji nilichokulia msanii wa america tulikuwa tunamfahamu Chriss tu nadhan itakuwa bado ipo
๐๐ AiseeKijiji nilichokulia msanii wa america tulikuwa tunamfahamu Chriss tu nadhan itakuwa bado ipo
Au mm sielewi maana ya hits? Hii Album ya Indigo haina hits? dohDuuh ww jamaa bado sana kuujua muziki wa US, huyo Chriss anaweza kumaliza mwaka hajawahi fanya ht show ya bure. Mbaya zaid alipompiga Rihanna ndo akajiharibia kabisa.
Bruno Mars tuu anamuacha 10000km
๐๐ข๐ฅ๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฆ๐ฎ๐ณ๐ข๐ค๐ข ๐ง๐ ๐ณ๐๐ฆ๐ ๐ณ๐๐จ!Hivi kuna mwana muziki gani pale America anaweza kubattle na Chris Brown kwenye Hits. Yani anaweza kuwa na hits kali kumzidi Chris Brown. Kwa wale wanaoimba.
Mi sijaona kama Breezy tokea namsikia siku ya kwanza na ngoma ya With YouHuyo dogo sijui kama nimewahi kusikia nyimbo yoyote mbaya kutoka kwake,ana balaa zote hakuna msanii wa aina yake ya mziki anayemkuta hadi sasa