Zahra White
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 598
- 576
Kweli niko tayari kwa lolote ila si kuacha kazi, labda niamue tu kwa kupenda kwangu kwamba sasa kazi basi..! kuhangaika wahangaike wazazi wangu alafu mtu aje tu from no where aniachishe kazi pasipo sababu ya msingi kisa amenioa??? hapa tutatafutana ubaya bureeee
thats gud.
Pia akikuachisha hakuhudumiyi anatujali sisi munyumba ndogo.
Nimekasirika muno

Labda uwe na hoja ya kwamba hakuhudumii.. lakini kama unapata huduma zaidi ya kama ungeenda kazini ya nini kujihangaisha, unaishi vizuri, unarasilimali za kutosha, wazee wako wanaishi kama wako peponi, wataka nini tena..??helo kumbe yule muke mwenzangu angekuwa mboss mkubwa tu TPA mume alivomuoa.
Akamuachisha kazi.
Wanaume kwa nini mnawaachisha wake zenu kazi?
Na wewe mudada kwa nini mume akuachishe kazi?
Wadada msikubali muwachishwe kazi.
Mie tokea nifahamu kuwa aliachiswa kazi namuhurumia na ninampenda mke mwenzangu.
Ile tabia ya kumfungia mume wake nimeacha.
Mkuu leo unanigeuka hivyo..!!!Maisha ya kuachishana kazi yalikuwa enzi hizo
na huyo mwanaume anaekuachisha kazi hana akili mukichwa
maisha yenyewe mafupi akifa leo au kesho unastrive vipi.............
Uwezo ndio tatizo dadangu.. pia wanawake wenyewe siku hizi hawapendi kukaa nyumbani hata kama kila kitu kipo, sijui wanakosa umbea huko maofisini....maisha kusaidiana.
Mkuu leo unanigeuka hivyo..!!!
Uwezo ndio tatizo dadangu.. pia wanawake wenyewe siku hizi hawapendi kukaa nyumbani hata kama kila kitu kipo, sijui wanakosa umbea huko maofisini....
Ila mimi binafsi sipendi mke wangu afanye kazi, uwezo tu ndio unaotusumbua, inakuweje ikifika jioni kila mmoja wenu amechoka, kila mmoja akifika kwenye eneo la tokeo anampa mwenzie mgongo "don tach mi" haya ni majanga...
yaaani wewe
Wivu wa kijinga, wanadhani wakiwa kazini watamegwa.duh kumbe wanaume wengi hawapendi wake zao wafanye kazi
helo kumbe yule muke mwenzangu angekuwa mboss mkubwa tu TPA mume alivomuoa.