Haha...mimi nakumbuka hako ka avatar!!!
karibu tena mjengoni..kuna kiumbe kinaitwa PAW, baadhi wanasema kiko fair, wengi wanakataa, mimi napinga!
Samahani, wewe ni binti mdogo ndio maana unaona ona aibuuuuuuu???????Wana jamii ni siku nyingi sasa nilipotea humu ndani hadi naona aibu leo hii nimekuja naona hata aibu sijui nianzie wapi kwani hata wale niliokuwa nawafahamu watakuwa wamenisahau......ila kwakuwa mimi ni mbishi nakuja mara nyingine tena nakusema nimerudi mwana mpotezu atakachukia mimi kurudi basi .....ila nipo mjengoni nitajikita sehemu zote ........kama kawaida...nimeweka huku ili watu waweke utani wao humu mnaonikumbuka plz nisalimieni ......................................
Zipu wazi halafu anajifanya kuona aibu.Zipu wazi umerudi ? kinadada wanaogopa labda uwe umefunga zipu.