NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
Habari Waungwana,
Kuna jambo limenikera sana, rafiki yangu bahati mbaya amechelewa kufika airport due to traffic.
ikabidi amepigie mumewe cm amuelezee kua amechelewa na ndege imemuacha,bwana yule
bila kutaka kujua amemtukana mkewe na kumwambia asuridi nyumbani yeye anamtegemea nyumbani baada ya 14days sio chini ya hapo na asijaribu kurudi nyumbani atakijua kilichomtoa
kanga manyoya.
Imebidi anieleze yalio jiri nikamwambia njoo nyumbani kwanza halafu tutaongea na mumeo huenda hasira tuu na stress za kazi, shoga kafika nyumbani akampigia kua yupo kwangu jamaa
akaja nikajua anakuja kumchukua mkewe Looo bila aibu kaanza kumtukana tena mwanamme yule ana chamba kama kalelewa na mashoga hata staha hana na juu ya kichambo chote hicho
still kamuacha mwisho anamwambia tena usijishaue naoa karibuni.
sasa shogangu anasema anarudi kwao safari ya nje imeishia hapo anataka Talaka nimemwambia
nimapema sana ila wanaume wanaume wanaumeeeeeeeee sio vizuri kumtupia mkeo au G/F wako maneno kwa kosa dogo na mwanamme humuita mkewe kwa mahaba ukamuliza sababu
siokumtolea maneno wanaume tafadhali wenye tabia hii wacheni mnawaumiza moyo wenzenu.