Mwanamke yupi sahihi kuaminika?

Mwanamke yupi sahihi kuaminika?

Nsam

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
212
Reaction score
290
Wakuu kuna jambo huwa linanipa utata, hasa hawa mabinti wanaopangisha.

Kiafrika, binti anayekaa kwao anaaminika sana wakati wa kuchumbiwa kuliko aliyepangisha.

Swali ni je, mwanamke anayefanya kazi karibu na nyumbani na panafikika ila wakati wote anang'ang'ana kupanga chumba akae mtaani, je huyo hajapoteza sifa za kuwa mke?
 
Usimwamini mwanamke hata kwa kuntania...
Ila huu msemo siwezi ufuata japo napenda kutumia
 
Wengine wakifikiria uwezo wake katika kutafuta maisha na kujipanua kiakili wengine wanafikiria uhuni aaghhhrrr
 
Naam kupanga au kutopanga isikuumize kichwa. Kuna wanaokaa kwao na hawana tabia nzuri. Hivyo hivyo waliopanga. Sasa wewe fanya uchunguzi kwenye maswala mengine
 
MI Nina swali....?

Je ikiwa binti haja olewa anatakiwa kuishi kwa wazazi wake hadi pale kifo kitakapo mfika??


Binafsi sioni tatizo hapo ikiwa binti anaamua kupanga ili kujitegemea na kujijenga ila iwe kwa nia nzuri sio hovu
 
Mi naichukulia tofauti sana sjui kwann, nliolewa nkiwa naishi kwangu aisee

Kwa maisha ya sasa mimi naona tabu!mie nilopomaliza tu chuo🤣nikaona kuishi na maza mnoko sitaweza...so nilipofika semester ya mwisho mahari ikatolewa!pyee!
 
Kwa maisha ya sasa mm naona tabu!mie nilopomaliza tu chuo🤣nikaona kuishi na maza mnoko sitaweza...so nilipofika semester ya mwisho mahari ikatolewa!pyee!
Aaaghhhrr mi maisha nimefanya sana nimemaliza chuo mtaani nimekaa miaka 6 na mishe zangu
 
Hyo ndo raha sasa!...sio unatoka na akili za chuo chuo unajump kwenye ndoa!
Wamepropose wawili na uchumba naahirisha ya mwisho broo akaniambia afu usituletee aibu apa akili yako sjui imeingiliwa nn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mr ana bahati nkawa nshaamua kutulia nimechoka kugonganisha semi na pulling🤣🤣🤣🤣
 
Wamepropose wawili na uchumba naahirisha ya mwisho broo akaniambia afu usituletee aibu apa akili yako sjui imeingiliwa nn 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 mr ana bahati nkawa nshaamua kutulia nimechoka kugonganisha semi na pulling🤣🤣🤣🤣


🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ww toka jana unanivunja mbavu mm 🤣🤣🤣!hujayamis maisha ya ufree😉😉😉🤦🤦
 
Hata ukimkuta anaishi kwao kama hana bikra ni sawa na anaishi mtaani tuu.

Tafsiri ya kwamba wasichana wanaotoka makwao na kuanzisha maisha yao binafsi wanalenga wawe huru ili wafanye uhuni si sahihi (Its subjective not objective).

Sexual drive na thinking capability yake ndo itamfanya awe mhuni regardless yuko kwao ama yuko kwake.


Unforgetable
 
Back
Top Bottom