Hahahaaaaa! Mchagua sana mwishoe huchagua koroma!!! (Hapo watu wa bara mijicho imewatoka, hajaambulia!!!!) Jiangalie babu wewe usije oa MKE KA DADA YAKO. Sifa za mke wmema ni hizi
1.MALA*A SANA KITANDANI( Hapo ukigonga mechi za ugenini zote zinakuwa chini ya kiwango, lazima utulie kwenye ndo.)
2.MWEREVU SANA (Anajua kupambanua situation katika maisha kuendana na mazingira.)
3.MZURI SANA (Hii itakuokoa na uvunjifu wa amri ya 9 na kugeukageuka nyuma kucheki ndinga za wenzio huku mijicho imekutoka
4.Anakupenda na kukuthamini kuwa wewe ndo THE ONE kwake!!(Usipoangalia utakuwa ZOMBIII la mtu maisha yako!)
Hapo si utakuwa umeoa ila utaenjoy ndoa.