Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,784 Reaction score 3,210 May 6, 2014 #1 Kwa mwanamke yoyote anayetaka kutoka kimaisha na kua juu kama wengine Plz plz ni PM nafasi ni chache
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 May 6, 2014 #2 Acha izo kabisa
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 May 6, 2014 #3 Kweli Kazitunayo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 May 6, 2014 #4 Hahaaaa Hahaaaa
M musubati JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 217 Reaction score 60 May 6, 2014 #5 Wewe una ngazi ya kumpandisha juu
NAMTUMBA JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 1,939 Reaction score 600 May 6, 2014 #6 mtongozeo huo. ajira navrushwa ya ng.......no et?
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 May 6, 2014 #7 Awe punda mbeba sembe au? Mbona hivo yakheee Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kibao R I P Joined Nov 8, 2007 Posts 631 Reaction score 401 May 6, 2014 #8 Umekuwa na ubunifu wa kutengeneza chambo na kutega mtego. Kama vile mvuvi anavyo tupa ndoano na chambo kwenye maji na kusubiri. We subiri watanasa. Kuwa tu mwangalifu asije kunasa kiumbe hatari. Kazitunayo said: Kwa mwanamke yoyote anayetaka kutoka kimaisha na kua juu kama wengine Plz plz ni PM nafasi ni chache Click to expand...
Umekuwa na ubunifu wa kutengeneza chambo na kutega mtego. Kama vile mvuvi anavyo tupa ndoano na chambo kwenye maji na kusubiri. We subiri watanasa. Kuwa tu mwangalifu asije kunasa kiumbe hatari. Kazitunayo said: Kwa mwanamke yoyote anayetaka kutoka kimaisha na kua juu kama wengine Plz plz ni PM nafasi ni chache Click to expand...
K Kichwa Ndio Mtu JF-Expert Member Joined Jan 17, 2014 Posts 3,079 Reaction score 1,719 May 6, 2014 #9 TAITO: Mwanamke yeyote anaetaka maisha... Wanaotaka maisha wako makaburini,walishakufa na wengine wako mochwari,hawa wote walioko jf wana maisha... Umepotea mkuu,kaipost hii kitu makaburini,utapata wengi wanaotaka maisha.
TAITO: Mwanamke yeyote anaetaka maisha... Wanaotaka maisha wako makaburini,walishakufa na wengine wako mochwari,hawa wote walioko jf wana maisha... Umepotea mkuu,kaipost hii kitu makaburini,utapata wengi wanaotaka maisha.
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,742 May 6, 2014 #10 Hizi stail za kutongoza skuhizi ni balaa
symwo Senior Member Joined Jan 15, 2014 Posts 152 Reaction score 49 May 6, 2014 #11 Kazitunayo said: Kwa mwanamke yoyote anayetaka kutoka kimaisha na kua juu kama wengine Plz plz ni PM nafasi ni chache Click to expand... Doh umetisha...ushapata pm ngapi mpaka sasa
Kazitunayo said: Kwa mwanamke yoyote anayetaka kutoka kimaisha na kua juu kama wengine Plz plz ni PM nafasi ni chache Click to expand... Doh umetisha...ushapata pm ngapi mpaka sasa