sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Mimi ni mjanja mjini, ni miongoni mwa walio soma kidgo mjini,ni mpiganiji wa kweli, ni baba wa francis,ni mme wa Elizabeth Anthony,ila jamani yote haya yametokana na mtu mmoja tu jinsia yake mwanamke,si kwamba sina baba yupo mzima ana pesa ila hakuwai kuniandaaa kuwa na sifa nilizozitaja niacheni nmpende mamangu mzazi Ma Godeliva ELias hacheni niseme mwanaume sio muhimu muhimu ni mwananke pale mtt anapozaliwa asante mpenzi wangu mamangu maana vinginevo ningekuwa BASHITE