Mwanamke wangu hanitaki

Tukutafutie basha uolewe sharti ni kuongeza ulevi
 
hapana tupendane ya kikweli sababu,nishapona na sirudii tena kua na zile stress 😂😂ila mapenzi matako yake.
Hahaha si ulinitosa acha wakuumize gademitt
 
Mwanamke akikutaa ni sawa na kumaliza MKOPO wa Bank ,shukuru kwa hilo.
 
Aaaah we acha tu,,ila nisamehe tu mie,sina hamu
Matusi yote yale mara Nina kibamia mara Sina hela sijawahi kukupa hata mia mbovu , Tena kwenye halaiki Kama hii , pendoo nakupenda ila kukurudia hapana asee😅
 
Matusi yote yale mara Nina kibamia mara Sina hela sijawahi kukupa hata mia mbovu , Tena kwenye halaiki Kama hii , pendoo nakupenda ila kukurudia hapana asee😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾alokuteka wakat tunakutafuta humu,, tafadhali akuchukue tena
 
Nimekusamehe pendoo najua ni stress tu
 
Makosa makubwa mnafanya vijana wa sasa ni kuanza kuishi na mwanamke kabla maisha yako hayajakaa sawa.

Mwanamke pekee anayeweza kukuvumilia ukiwa apeche alolo ni mama yako. Mwanamke wako anaweza kukuvumilia kwa muda kama anaona una mipango unatengeneza itakuja kuzaa matunda mbeleni, kama haoni matunda leo, kesho wala kesho kutwa, atakukimbia haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…