Mwanamke wangu anaolewa

Miaka 23 unawaza kuoa mwaka ujao.
Ndo maana mnazichoka ndoa haraka.
sisi ambao tunatoka kozi za Afya Tunapenda sana Kusettle wengi wakifika Mwaka wa intern katika umri wa miaka 24 wanaoa na ndoa zinadumu , asilimia kubwa between 24 - 26 wanaoa hapa chuoni na Wanatoboa wengi tu.
 
sisi ambao tunatoka kozi za Afya Tunapenda sana Kusettle wengi wakifika Mwaka wa intern katika umri wa miaka 24 wanaoa na ndoa zinadumu , asilimia kubwa between 24 - 26 wanaoa hapa chuoni na Wanatoboa wengi tu.
Sawa mkuu, utapata mwingine.
 
Nyumbani wanamfosi aolewe , Tanga sjui wanashida gani
Mdogo wangu tafuta kwanza maisha jipange ndio uoe

Ungekuwa unaeleweka kiuchumi demu wako angekupeleka Tanga ukajitambulishe kwao, taratibu za ndoa zifuate ila ameona bado unajitafuta

Yaani sasa hivi unaonekana kama mche wa sabuni hauna mbele wala nyuma. Hakuna muda wa kusubiriana umri wake unaenda

Acha aolewe akiwa na 24 wakifika miaka 30s mnaanza kuwaponda sana kuwa wasimbe, mara soko lao gumu, mara ilikuwaje hajaolewa mpaka anagonga 30s
 
lijana angu jana ulivyokuwa hupatikani nikajua umejinyonga[emoji23][emoji23][emoji23]
ndio mademu walivyo esp wanawake wa tanga na zanzibar huwa wanaolewa na umri mdogo tena huyo 24 kachelewa sanaa
at our age bro inatakiwa tutumie akili sana kuliko emotion

ila itapita tuu ndio unapata exipirience sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa kashaharibu ndoa ya watu.kasema Hadi bi harusi anapofanyia kazi ?
 
Miezi 6 tu totoo ya kudate unaachwa unamjazia mtu kigunia cha sms??

Mngefika miaka miwili? Si uongeomba press conference uiambie nchi nzima?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Njoo inbox turekebishe hilo suala kama uko serious..

Nakuhakikishia hakuna ndugu wakuja kuharibu mahusiano yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…