Mwanamke wangu anaolewa

Kuna mmoja aliniambia kapata mchumba mi nikamtakia maisha mema, na bwanaake akanitumia meseji kuwa niachane na huyo mwanamke nikakubaliana nae.

Sasa zikapita siku kadhaa yule mwanamke akaanza kunitukana bila sababu yaani kawa na hasira kisa nimemruhusu aolewe! kosa langu ni kumuacha aendelee na mahusiano yake mapya kwa amani, mara ajitetee kuwa eti hamtaki huyo mchumba eti ni mama yake ndo alimpikia hadi chakula lakini wameshakubaliana na mama yake kuwa hataolewa na huyo mwanaume, mi kimoyomoyo nikamuona ye na mama yake ni kama matapeli tu vipi wakubaliane na mtu alafu wapange mpango wa kumzunguka? nikaendelea na msimamo wangu mahusiano yameisha kama alivyotaka.

Hawa viumbe hawajui wanataka nini kuna muda wanakua na pressure ya kuolewa wanajikuta wanataka kote mwisho wa siku wanakosa kote.
 
Achana naye....ila na uhakika jamaaa yake asipo perfom vizuri....basi utaletewa wewe uichakate....nipo nimekaa pale.
 
Pole kwa yaliyokukuta ..

Ana miaka 24, wewe 23 hii tayari 1-0
Amepata kazi kabla yako, hii 2-0
Ameolewa kabla yako, hii 1-0..
Wote mlikutana mabikra 0-0

Amekuzidi parefu na kila idara.
 
 
kizazi cha 2000 hakiishiwi utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…