A Achula paul New Member Joined Apr 28, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Apr 28, 2014 #41 Anachooa ni mke na cio kabila xaxa kama wanapendana acha waoane tuache mila potofu
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Apr 28, 2014 #42 Rapunzel said: Wamekufanya nn Tanga? Maana una hasira nao kweliii Click to expand... Nimeishi Tanga kwa muda mrefu sana, nimeona mengi. Nilikuwa na ndugu zangu wameoa na kuolewa Tanga, nimeona mengi tu. Inshort, kama wewe umetoka nje ya Tanga usioe huko, kama ni mwenyeji wa Tanga uo kwenu. Ndege wa rangi moja wanaruka pamoja.
Rapunzel said: Wamekufanya nn Tanga? Maana una hasira nao kweliii Click to expand... Nimeishi Tanga kwa muda mrefu sana, nimeona mengi. Nilikuwa na ndugu zangu wameoa na kuolewa Tanga, nimeona mengi tu. Inshort, kama wewe umetoka nje ya Tanga usioe huko, kama ni mwenyeji wa Tanga uo kwenu. Ndege wa rangi moja wanaruka pamoja.
kichwat JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 1,819 Reaction score 592 Apr 28, 2014 #43 mwache dogo aoe Tanga, ila usisahau kuja kutupa majibu baada ya miezi 7.
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,310 Apr 28, 2014 #44 Tabia ya mtu tofauti na kabila au mkoa atokao.
Z zacharia makanga Member Joined Jan 22, 2014 Posts 14 Reaction score 0 Apr 28, 2014 #45 Bro acha dogo akayaone maisha ndoa ya kitanga full kudekezwa,atajuaje kama maisha ndoa yana raha na karaha
Bro acha dogo akayaone maisha ndoa ya kitanga full kudekezwa,atajuaje kama maisha ndoa yana raha na karaha
B burungutu Member Joined Jan 20, 2014 Posts 66 Reaction score 10 May 4, 2014 #46 awe muangalifu wengi tumeoa huko na hakuna matatizo wenye matatizo hayo ni w.d.go, wenye mji wa tanga wenyewe mapenzi yao kama hauko makini utasahau nduguzo.
awe muangalifu wengi tumeoa huko na hakuna matatizo wenye matatizo hayo ni w.d.go, wenye mji wa tanga wenyewe mapenzi yao kama hauko makini utasahau nduguzo.
thinky JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 2,121 Reaction score 267 May 4, 2014 #47 upuuzi huu