Sio vyema kuhukumu kabila kwa
kosa la watu wachache, mimi ninacho shauri kama wamependana acha
waoane. Kuwa mdigo, mzigua, mbondei, msambaa, mshombe, mhandeni
haijalishi.
Tanga kuna wazigua, wadigo,wasambaa, wabondei na wasegeju sasa huyo binti wa kitanga kabila lepi...I hate that man,I must to know him better..alaf hayo mambo ni ya kizaman na story tu kukaa Kwangu Tang kote cjawahi ona wala ckia kwa m2 suala usemalo.TANGA RAHA, MOMBASA RAHA, ZANZIBAR STARA
Wengine wanafatia mkumbo tuu eti Tanga wachawi. ndugu zangu kuna makabila ni hatari sema hawavumi tuu. kama mtu kapenda mtu wake mwacheni kwani anaoa kabila au mke..acheni hizo