Mkuu watu wengine wanatakiwa wajibiwe kwa ukali, wanapenda ku-generalize issues, ni problem sana hata maofisini. They don't think outside the box matokeo yake wanacreate havocs. Kuhusu neno tinker, halina makosa yoyote, lina maana nyingi lakini mojawapo ni mischiveous person. Wakati mwingine ni phrasal verb ambayo ni tinker's damn likiwa na maana ya something insignificant na hiyo ndo maana nimemwita great tinker. Kuhusu neno la pili a I agree. Sababu nyingine natumia mobile haina spelling check mkuu.
Pamoja sana, tunaishi kwenye jamii mchanganyiko, na ninakubali wengine wanapaswa kujibiwa kwa ukalli. maandalizi mema ya kuupokea mwaka Mpya (kama huwa unaamini katika sherehe za mabadiliko ya namba)