Mwanamke wa hivi hafai hata kidogo

Mwanamke wa hivi hafai hata kidogo

Yaani hiyo situation ndo nipo nayo sasa demu wangukuanzia mwezi wa kumi mwaka wa jana anakula pilau la mashost zake tu...baaasi ni tabu tupu kila siku ndoa letu lini maskini angejua mm plan ni kama three years mbele......

Kumbe unamotezea muda binti wawatu maana huo mpango wa kuoa miaka mitatu ijayo umepanga wewe na si wewe na yeye. Muda ukifika utasema eti kazeeka unamwacha loooo!
 
Yaani hiyo situation ndo nipo nayo sasa demu wangukuanzia mwezi wa kumi mwaka wa jana anakula pilau la mashost zake tu...baaasi ni tabu tupu kila siku ndoa letu lini maskini angejua mm plan ni kama three years mbele......

ACHA kumchezea bint wa watu, yaani wanaume sijui mkoje jamani.
 
mimi naona bint kuuliza au kudai ndoa ni haki yake kabisa, kimaumbile wanawake na wanaume ni tofauti jamani,maumbile ya mwanamke yanazeeka haraka, huyu bint unakuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka zaidi ya mitatu au minne huoni unamzeesha? unakutana na binti ana miaka 25 unaenda nae uhusiano miaka 6 hapo tayari anakuwa 31, hapo bado hajapiga hesabu za kuzaa, jamani wanaume hebu muwe na huruma basi, usimpotezee mwenzio muda wake, msichojua mabinti wengi mapokeo ya mioyo yao ni kuwa mama wa familia sasa unapomzuia asikuulize ni wazi humtendei haki.
 
Hahahaaaaa looo nimecheka aisee asa huyu dada huyu mmmhhhhh
 
We mtoa mada umenishangaza,sasa unataka binti wa watu akae kimya wakati unaendelea kumzeesha?unataka hadi akaribie menopouse na umtafutie SBB umtose Kisa kaanza zeeka,kama we si muoaji mwache binti wa watu.
 
Na nyie punguzeni kukaa na watoto wa watu miaka na miaka wakati hamna mpango nao.Mie naona message ni nzuri tu mtu unakaa na mtu miaka kibao lakini hata siku moja hakwambii future yenu ikoje lazima mtu uchoke

tunajua panya na mkia Ni panya yule yule. kwani kuoa Ni fashion vile unaenda kununua shati au bikin dukani?
 
''Baby,This is January, una mpango gani na mimi?""Mwaka huu ukiisha bila kunioa kwakweli sitakuelewa, Monica waofisini anaolewa tarehe 26, my BFF Stella anaolewa March, my roommate Sandra anaolewa na yule BF wake wa South Africa mwezi wa 6, nabaki mimi tu, kwakweli sitaki.""Kama huna mpango wa kunioa mwaka huu niambie kabisa, kuna these 2 guys wananifuatilia muda tu nimewapotezea kwa ajili yako lakini naona hueleweki."

Ukiona Msichana anakwambia hizi sentensi wala usijisumbue kumuoa. Ndoa sio mashindano kwamba usipokimbia fasta atashinda Usaini Bolt.

Anataka umuoe kisa mashosti wanaolewa kwamba ye ataonekana kachelewa, lakini tu anasema kuna vijana wawili wako tayari kumuoa that means hana consistency, ana plan A,B,C hadi Z..Yeye shida ni Ndoa ila sio nani kamuoa. Kaweka Timing, akikukosa wewe basi ana reserve na si ajabu hata hao wawili anaowasema wako pending tayari wameshaweka Signature bila wewe kujua.

Mwanamke wa namna hii, akisema tu hizi shombo, we mwambie samahani mpenzi mahari nimejengea mabanda ya kuku wa Mayai.Nitakushangaa kama utakurupuka na kuanza kututumia Meseji za michango ya Harusi ya 'Crash Programme' kisa demu kakupiga mkwara ili umuwahi uwashinde wale wawili. Huo ni Usukununu!Hautakuwa umeoa Mke ila Umeoa Vodafasta!

mkuu achama na taka taka kama hizo. iko siku atakuja kuambia nipoppe huko! maana Joyce na BF wake ndio wanagamyaga hibyo.
 
Binti yupo sahihi kulilia ndoa yake.
Pia tuelewe ndoa ni makubaliano ya watu wawili na kama ugumu upo kwenye sherehe kama vipi potezea kwani sherehe ya harusi siyo muhimu ila muhimu ni kufunga ndoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom