pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Wadau Mwanamke ambaye kila mara tunaenda sehemu za starehe anaweza kuwa Mke mwema? mwenye uzoefu na haya mambo jamani.
Ndo maanaa fm academia akina nyoshi walisema sio kila mwanamke anaeingia baa ni malaya au anajiuza
Wadau Mwanamke ambaye kila mara tunaenda sehemu za starehe anaweza kuwa Mke mwema? mwenye uzoefu na haya mambo jamani.
maana ya mke mwema ni nini?
Anatoka Kwa Bwana
Anatoka Kwa Bwana
wengine tunaenda kwa pesa zetu.. ila UKIJIPENDEKEZA TUNATUMIA ZAKO.
karibu mkuuuImebidi ni cheke kwanguvu hadi jirani kastuka. Sentensi ya mwisho haswaa ndio imekamata headline za tabloids.
Kabla ya kujibu swali lako,hivi wewe unayeenda club mara kibao unafaa kuwa mume mwema?Wadau Mwanamke ambaye kila mara tunaenda sehemu za starehe anaweza kuwa Mke mwema? mwenye uzoefu na haya mambo jamani.
wengine tunaenda kwa pesa zetu.. ila UKIJIPENDEKEZA TUNATUMIA ZAKO.
Nakusoma hater.....akijipendekeza ameliwaaaaaaa...doh
ukijipendekeza ninasave natumia zako hater
wengine tunaenda kwa pesa zetu.. ila UKIJIPENDEKEZA TUNATUMIA ZAKO.