Mwanamke usipaniki yanapojiri haya...

Mwanaume sie tuna laana,yani hata uwe na malaika ndani utataka mzigo mwingine tu sijui tupoje?
 
Lakini mi nadhani haya mambo ya haki sawa pia ndio yanaweza kusababisha ongezeko la mishepuko kwasababu kwa upande mwingine hadi inafikia hadi majukumu ya mwanaume anashika mwanamke, ya mwanamke anashika mwanaume matokeo yake tunazalisha Marioo, domestic violence, dharau, dhuruma, na Sugar daddy wa kutosha mitaani kisa kila mmoja anaweza kwa kuona haki sawa.
ni kweli na ukiangalia sana,wanaume wengi hawapendi mwanaume anayejifanya anajua kila kitu,ndio maana wanaharakat wengi wa haya mambo ya haki sawa,wengi hawako kwenye ndoa wameshazinguana na wanaume zao
 
Wanaume wanakuwa na michepuko sio kwamba wake zao wana kasoro yoyote ila ni kutaka kujua wanawake wabovu wakoje . Wakimaliza ni kujilaumu na kujihurumia kwa kosa la kutoka nje . Hebu fikiria mtu anapewa safari ya kikazi toka Dar kwenda Arusha anamwacha mkewe na kusafiri na mchepuko siku tatu zinatosha ashamkinai anamtanguliza kurudi .
 
Tumeelewa, ila ukikuta mkeo nae wanakugongea kuwa mpole.......cha mtu huliwa na mtu, chuma pekee ndo kinaliwa na kutu
 
Hivi Kwani Zamani Wanawake mlivyokuwa mnaolewa 10 nyumba Moja Ilikuwa ni Nini...
Ulikuwa ni utamaduni wetu waafrika,hata babu yake mama yangu alikuwa na wake 10,watoto 70.

Ujio wa foreigners na utamaduni wa mke mmoja na mume mmoja ndio umeleta hii ajabu ya mume kuwa na wake wengi..

Lakini yote kwa yote,hapa tunaongelea "michepuko"na sio wake walioolewa kihalali kwa dini au mila.
 
Moja kati ya sababu zinazopelekea wanaume kutafuta mpango wa kando, ni kutimiza haja zao nyingine kingono(fantasies). Binafsi kuna baadhi ya vitu ambavyo siwezi kufanya kwa mwanamke nayemjali, japo havina ukakasi kivile, felattio ni mfano. Juzi pia mshkaji wangu ananiambia hawezi "hit it from behind" kwa manzi anayempenda.

Kwa hiyo kimsingi, tunapotoka mara nyingine ni kwa sababu tunawajali na kuwaheshimu.

ONYO: SITAKI MASWALI TAFADHALI.
Hakuna heshima kwenye mapenzi. Hivyo ambavyo unaona huwezi kumfanyia kumbe ndo anavitaka. Na akivikosa atavitafuta hukooo anakojua
 
Ulikuwa ni utamaduni wetu waafrika,hata babu yake mama yangu alikuwa na wake 10,watoto 70.

Ujio wa foreigners na utamaduni wa mke mmoja na mume mmoja ndio umeleta hii ajabu ya mume kuwa na wake wengi..

Lakini yote kwa yote,hapa tunaongelea "michepuko"na sio wake walioolewa kihalali kwa dini au mila.
mada haihusu mapenzi nje ya ndoa
 
Kumekua na hulka ya akina dada, hasa wa kizazi cha leo, akina mama sio sana pindi anaposikia kuwa mume wake amechepuka ataanza kuhisi mambo mengi, kama kujitoa kasoro, au kufikiria nini mume wake amekosa kwake, je hana uzuri wa kumvutia mumewe?
Inawezekana hujui ulichokiandika.
mada haihusu mapenzi nje ya ndoa
Kuchepuka sio mapenzi nje ya ndoa?
Wanaume kuchepuka ni hulka yao tuu hasa nchi zetu za kiafrika, tena mara nyingi wengi huwa hawana sababu ya msingi ya kufanya hivyo
Uwe unasoma ulichoandika kabla ya kupost.
 
Back
Top Bottom