Mwanamke usipaniki yanapojiri haya...

Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
5,057
Likes
5,094
Points
280
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
5,057 5,094 280
Kumekua na hulka ya akina dada, hasa wa kizazi cha leo, akina mama sio sana pindi anaposikia kuwa mume wake amechepuka ataanza kuhisi mambo mengi, kama kujitoa kasoro, au kufikiria nini mume wake amekosa kwake, je hana uzuri wa kumvutia mumewe? Au kaamua kutoka kwa kua anamdharau nk,jibu rahisi ni kwamba unaweza usiwe na kasoro yoyote ile, tena yawezekana mchepuko wa mwanaume wako unaweza ukawa haukufikii wewe kwa lolote,

Wanaume kuchepuka ni hulka yao tuu hasa nchi zetu za kiafrika, tena mara nyingi wengi huwa hawana sababu ya msingi ya kufanya hivyo isipokuwa ni "just for new taste" na kuonyesha "identity na prestige" tuu na ndio maana wanaume wengi wanaochepuka huwa hawataki kabisa kuanza kuongea madhaifu ya mkewe kwa mpango wa kando wake, hii ni kuonyesha kuwa anaheshimu nyumbani kwake na hayuko radhi kuharibike.

Imekuja kuonekana miaka ya karibuni kuwa ni kikwazo hasa baada ya kuzuka harakati nyingi za "kumkomboa" mwanamke na mambo ya "haki sawa" kwamba kuwepo na nguvu sawa za kimamlaka ndio zimekuja kusababisha migogoro mingi na kutokuelewana miongoni mwa wanandoa siku za karibuni, kwamba baba akichepuka na mama lazima afanye hvyo.

Kwa bahati mbaya jamii imekua na hukumu tofauti kwa kosa moja lililotendwa na watu wa jinsia mbili tofauti kwa hyo dada zangu ukiona hari hyo inatokea usishangae sana wala kujiuliza una tatzo gani, kama una kasoro za kawaida zisahihishe ila walio wengi atatoka hata kama huna kasoro, chakufanya chukua hatua stahiki za kuendelea kuokoa mahusiano na kuendelee kumnasihi mwandani wako akumbuke familia na amuogope Muumba wake, wengi hua wanaelewa.

Tanbihi: Sihamasishi wanaume kufanya hivyo, haifai.
 
Roger Sterling

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Messages
11,159
Likes
9,764
Points
280
Roger Sterling

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined May 10, 2015
11,159 9,764 280
Moja kati ya sababu zinazopelekea wanaume kutafuta mpango wa kando, ni kutimiza haja zao nyingine kingono(fantasies). Binafsi kuna baadhi ya vitu ambavyo siwezi kufanya kwa mwanamke nayemjali, japo havina ukakasi kivile, felattio ni mfano. Juzi pia mshkaji wangu ananiambia hawezi "hit it from behind" kwa manzi anayempenda.

Kwa hiyo kimsingi, tunapotoka mara nyingine ni kwa sababu tunawajali na kuwaheshimu.

ONYO: SITAKI MASWALI TAFADHALI.
 
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Messages
24,079
Likes
38,903
Points
280
Nokia83

Nokia83

JF-Expert Member
Joined Jan 16, 2014
24,079 38,903 280
Wanawake wanasahau ikiwa kila mwanaume atachukua mwanamke mmoja tu dunia haitakuwa sehem salama
 
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2008
Messages
3,536
Likes
2,069
Points
280
Who Cares?

Who Cares?

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2008
3,536 2,069 280
nadoa kama project...
jifunze kupuuza mambo amabayo si ya msingi katika maisha yenu....

tengeneza matrix halafu angalia vipi ni common kwenu na ndiyo mdili nazo
Ahahahha....wee mchaga kila nilisoma comments zako nakutana na ndoa kama project...

ifike mahali tujadili hiyo ndoa project na parameters zote as tunavyosoma kwenye project management courses....

so wivu na mengineyo ni mojawapo ya human resources management tactic in your project..ahahaaa...

na dume surual ni management tactic is kumanage ndoa faniancial resources.....naomba utoe shule ya ndoa as a project tafadhali.

nahisi una kitu fulani ila unatupatia nusunusu...mwaga kila kitu hapa sana ndoa tujifunze ndoa project na all traditional vows tulizopitia.
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,589
Likes
31,144
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,589 31,144 280

mkuu nakuahidi nitaandaa somo niwafundishe ... ndoa kama project ili tuache kulia lia .. kabla ya krismas vijana tunajisahahu sana
 
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
5,057
Likes
5,094
Points
280
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
5,057 5,094 280
nadoa kama project...
jifunze kupuuza mambo amabayo si ya msingi katika maisha yenu....

tengeneza matrix halafu angalia vitu ni common kwenu na ndiyo mdili nazo
wapo wanaume walioamua kutulia kwa kua na wanawake kama wewe,walipogundua wake zao hawana muda na wao katika ujinga wanaofanya,yaani wana focus familia tuu,wamewacha ujinga na kuwaunga mkono,
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,589
Likes
31,144
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,589 31,144 280
wapo wanaume walioamua kutulia kwa kua na wanawake kama wewe,walipogundua wake zao hawana muda na wao katika ujinga wanaofanya,yaani wana focus familia tuu,wamewacha ujinga na kuwaunga mkono,
unajua binadamu akiambiwa acha ndiyo anafanya ila ukimwambia fanya anaacha .. kiukweli ni bora kupuuza na kuangalia malengo ya familia
 
Mr.Wenger

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Messages
1,422
Likes
2,178
Points
280
Age
32
Mr.Wenger

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2014
1,422 2,178 280
Moja kati ya sababu zinazopelekea wanaume kutafuta mpango wa kando, ni kutimiza haja zao nyingine kingono(fantasies). Binafsi kuna baadhi ya vitu ambavyo siwezi kufanya kwa mwanamke nayemjali, japo havina ukakasi kivile, felattio ni mfano. Juzi pia mshkaji wangu ananiambia hawezi "hit it from behind" kwa manzi anayempenda.

Kwa hiyo kimsingi, tunapotoka mara nyingine ni kwa sababu tunawajali na kuwaheshimu.

ONYO: SITAKI MASWALI TAFADHALI.
Same reasons mwanamke akizitumia kuchepuka ataonekana gaidi
 
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
5,057
Likes
5,094
Points
280
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
5,057 5,094 280
unajua binadamu akiambiwa acha ndiyo anafanya ila ukimwambia fanya anaacha .. kiukweli ni bora kupuuza na kuangalia malengo ya familia
yaa ni kweli,plus coalition za hapa na pale ndo zinaongeza tofauti kabisa,
 
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined
Sep 13, 2014
Messages
6,869
Likes
5,207
Points
280
Madam Mwajuma

Madam Mwajuma

Verified Member
Joined Sep 13, 2014
6,869 5,207 280
Ukichepuka chepuka tu salama na kinga kila round haiishagi nshagundua. Ukimuuliza uliza unatoka wapi yule nani nda anaijua ndi adhabu yako temana naye ukimuacha huru sana ataanza kukuchunga wewe.
 
Kingfisher

Kingfisher

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2015
Messages
2,465
Likes
2,134
Points
280
Kingfisher

Kingfisher

JF-Expert Member
Joined May 22, 2015
2,465 2,134 280
Why men cheat? The answers to the question are crystal clear. I'm not here to justify a cheating man's actions. Rather to mention few things to you why a man might go on ahead and get a little something on the side.
We (men) cheat because.
1. We can
2. We think we can get away with it
3. There's always a woman out there willing to cheat with us
 
W

Willy Johnson

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2016
Messages
318
Likes
153
Points
60
Age
34
W

Willy Johnson

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2016
318 153 60
Lakini mi nadhani haya mambo ya haki sawa pia ndio yanaweza kusababisha ongezeko la mishepuko kwasababu kwa upande mwingine hadi inafikia hadi majukumu ya mwanaume anashika mwanamke, ya mwanamke anashika mwanaume matokeo yake tunazalisha Marioo, domestic violence, dharau, dhuruma, na Sugar daddy wa kutosha mitaani kisa kila mmoja anaweza kwa kuona haki sawa.
 
Forum statistics

Threads 1,273,858
Members 490,528
Posts 30,493,698