Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,350
1. Usimuonyeshe "Pedi" yako
Damu kikawaida huwa inawatisha sana baadhi ya watu, kumuonysha pedi bwana wako unamharibu kisaikolojia, kwa maana inamjengea kuhisi hali ya hatari, akiiona hiyo siku akitaka mambo anaweza kuwa anavuta picha ya hali ya hatari aliyoiona kipindi kile na hivyo munkari wa mamboz kumshuka-
2. Kamwe usimkejeli kwa kauli kama vile "mwanume mwenyewe mwanaume gani", "katika wanaume na wewe mwanaume?"
Hakuna furaha aisikiayo mwanaume kama kujua kwamba kuna jike linamuona yeye kuwa ni kidume kwelikweli, ukimfanya mwanume ajihisi kama siyo mwanaume kweli, atatoka aende sehemu kujiprove kwamba yeye kweli ni kidume, iwapo atapapata huko, jua mapenzi na trust yote ataihamishia huko!
3.Usithubutu hata kiutani ku"imply" kwamba watoto si wake!
Hii humfanya mwanaume ajihisi unyonge sana, matokeo yake atakuchukia wewe, na watoto, na si ajabu akaanza tabia za ulevi, kukuabuse, kuwapiga watoto.
4. Usimpe mambo kila wakati atakapo
Mwanaume hujihisi ufanisi na hamu pale anapokula lakini kwa kukihangaikia kidogo, siyo kila mara anapokuomba basi wewe unampa tu, saa nyingine mbanie kidogo, ukiona jamaa hajiwezi then mpe, ukibana sana ataitafuta kwingine, na ukimpa kila wakati atakuwa haitaki sana pia.
5. Usiache/usitupetupe ovyo ache nguo za ndani-
Inabidi umjengee hisia man wako kwamba, ile kitu anaitumia tu, na unampa kwa mapenzi tu lakini haimiliki yeye, unapoanza kutupa tupa nguo za ndani, inamjengea hisia za "kuimiliki na kuijua saana".-
Na pia nguzo nyingine za ndani zipo out of shape kabisa, nyingine zina hali fulani mbaya, ukiziacha hizo akaziona then anaassociate ile hali yake mbaya na papuchi yako, matokeo yake stimu zinamshuka kabisa anakuwa hana hamu nayo.
6. Usiache akuandae yeye tu, nawe muandae pia
Inapokuja katika mambo fulani, usijilaze tu kama bosi, mwandae pia na mwenzio, mambo yashabadirika jamani siyo kama zamani, watu wa Zamani mwanaume ukisikia sauti tu, mambo tayari, lakini wengi siku hizi wanalalamika hata wakiiona papuchi hivi waziwazi bado mizuka haipandi kiulaini!.
7. Usitumie maneno kama " Leo naona umenichezea tu", " Leo umechemsha"
Maneno hayo humuingia mwanaume kunako ubongo na kumvuruga kabisa, unamtia hofu sana, na si ajabu ukaanza kuona anakukwepa, mpe positive words, kama "aisee umejitahidi", " ahsante mpenzi nimefarijika kwa mapenzi yako", " Naona leo umenipania", just anything positive!