Mwanamke usilete mazoea chumbani

Sababu mojawapo inafanya wanaume watafute wake za watu, makahaba, vident ni kwasababu hawa watu wanakutana nao mara chache sana na wanapokutana nao huwa ni wanawake wanaojiandaa na usafi wa hali ya juu.

Mwanamke wako akiwa sio mtu wa kujiweka safi yaani ile ya muda wote lazima akukate stimu. Hata siku akisema ajiweke safi utajua leo kafanya kwasababu anataka kukufurahisha wewe tu ila sio haiba yake ya kuwa msafi.

So kimsingi wanawake kama umeamua kuwa msafi wa mwili na kujipamba fanya kwaajiri yako yaani kama mwanamke kuwa msafi sio kwaajiri ya kumtega mwanaume halafu akishategeka kesho unaanza tena kurejea hali ya kawaida ya kuwa rough.
 
Wanawake hawajielewi hawaeleki pia.Kuna mmoja Leo kanifokea mpaka mishipa imemtoka Neva utadhani zinataka kupasuka.Nimebaki kucheka tu anaweza akafoka Kwa nguvu hata Lisaa BIla kuchoka Hadi akaenda kunywa maji Kuja kurudi kufoka Hadi unamwambia apumzike half time.Akija kulala mdomo hoi Hadi unamuonea huruma utadhani huo mdomo unaendeshwa na Jenereta.
 
Dah,kweli mtu anayewaza mipango ya kesho atapata mda wa kula sebuleni kidogo na kwenda kula tena chumbani?duh,
 
Alafu vijana wengi wanaishi chumba kimoja sasa sijui hayo unayafanya sa ngapi?
 
Kuna wengine hasira zao mpaka aongee,kwa mtu wa hivyo inabidi uwe mpole
 
Nilimuona dada mmoja kwa mwezi anamtega mara moja
 
We ni me au ke
 
Haya si kwa waume zetu wa bongo arooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…