Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,910
- 60,369
Tena zilizofungwa rababendi"[emoji53]Nyie ndio mnaondondokeaga kwa mwenye simu ya tochi![emoji53]
Hahahaaaa naona una utani na mh. Msukuma[emoji23]Tena zilizofungwa rababendi"[emoji53]
Unatumia simu gani?Nakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema
Hahaah dia wala sinaga utani kabisaaa na hao watu mmHahahaaaa naona una utani na mh. Msukuma[emoji23]
Wewe unataka mwanaume mwenye nini?[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kritika bhana
Kwa hiyo kila mwenye pesa ni lazima awe na simu ya gharama??? kichwa chako ni empty kiwango cha SGR na ndio maana mabishoo wako tayari kuazima gari ili wawabandue wajinga km ww halafu wanasepa mnabaki kulaumu wanaumeNakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema
Wewe unataka mwanaume mwenye nini?[emoji12]
Dangote anatumia tecknoNakushanga sana msichana mrembo kumkabidhi mwanaume anaemiliki tecno moyo wako..mimi hata salamu tu siwapi kabisa
Mnatakiwa msiyakubalie yaache kutumia vitu cheap yatafute pesa kwa bidii
Muwe na siku njema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ndio unajua maisha mwaya. Ila yule kiumbe alichonifanyia sitakaa nimsahau[emoji53]Ajue kutuma muamala na usiwe hewa kama ule uliotumiwa wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ndio unajua maisha mwaya. Ila yule kiumbe alichonifanyia sitakaa nimsahau[emoji53]