Mwanamke unapomwambia unampenda anakujibu "ahsante"

Kuna mtu alikua mbahili Sana WA kutext mtu sasa sku hiyo nikawa namkomalia na SMS akawa kimya nikamtumia msg empty nikamwambia haya mekutumia msg hiyo nijibu bas kupitia hiyo msg akajibu wallah nilicheka Sana sku hiyo (umenikumbusha hako ka kisa[/QUOTE) madame s, mi nadhani unajibu kumbe unaanzisha your story! Mi mdada nikimwambia flan .."I love u" akinijibu "ahsante" zaman wakati sina pesa ?ilikuwa napanic...ilinitokeaga nikiwa field moja kule kigoma-kibondo, kuna nurse wa chuo flan nikamtokea akanijibu ivo..ma?na anakukata stimu balaa...nowadays kuepuka majibu ya hivo, siwaambiagi nakupenda, namwaga pumba,,utashangaa ndege anadonoa..hadi anashangaa shughuli isha isha..ki uanafunzi ukiendelea kutongoza ..hayo majibu utaendelea kupata tu..BUT mpaka now nikikumbuka hayo majibu na nuna sana..

pumba gani mkuu
 
Maana ya jibu hilo ni kwamba ameku puuza aiseeee...
Tena hata nafuu angekujibu Hapana inathamani kuliko Asante

tatizo wabongo tumeklemisha sn kwani mtu akikwambia nakupend ukajib ahsante tatizo nn?am ndo mshaklem i love bc i love too, i mc bc i mc 2. achen bhan mbon hat wanaume huwa wanajibu ahsante. mie nijuavyo ni km anashukuru ndio maan ya ahsante...
 
Haiwezekani umtamkie neno nakupenda mwanamke out of nowhea esp kama ndio kwanza upo stage za kwanza za kuanza kuchombeza tena kwenye simu aisee hata mimi nakujibu ahsante hapo it's either huna chako u r wasting ur time au umebugi tu gia za kumuingia halafu napata mashaka maana nimemjibu mtu hivo juzi sijui ndio wewe Mr Lyon :what:
 
Tatzo lakupanick ad mnakosa madem. Watu tushapewa majibu ya nyodo bdo tukakomaa tu ad tukala mzigo hapo mbona umejibiwa vzr.
 
Kukujibu asante ni moja ya njia mwanamke anayoitumia kuukataa upendo wako au kuuzima.....niliwahi kuwa na mchumba ambaye mwanzoni nikimwambia nakupenda ananijibu nakupenda pia lkn baadaye akaanza kunijibu asante...nilipomuuliza akaniambia its because hataki kusema kitu asicho feel....So thats how women say i no longer love you or i dont love you...

So wewe mjibu asante kushukuru....au mwambie natumaini shukrani yako itajiirisha kwa kunienzi au kulichunga pendo langu na kutonisaliti....kisha kausha ajiongeze mwenyewe....ukiona kimya jua umeshaibiwa.....
 
Haiwezekani umtamkie neno nakupenda mwanamke out of nowhea esp kama ndio kwanza upo stage za kwanza za kuanza kuchombeza tena kwenye simu aisee hata mimi nakujibu ahsante hapo it's either huna chako u r wasting ur time au umebugi tu gia za kumuingia halafu napata mashaka maana nimemjibu mtu hivo juzi sijui ndio wewe Mr Lyon :what:

trap queen Nakupenda!
 
Habari za jioni ma gwiji,

Hivi mwanamke unapomwambia nakupenda akakujibu ahsante, inakua ina maanisha nini sababu kuna ndugu yenu ambae anaweza kua mimi kajibiwa hivyo kwenye text kaishiwa pozi hapa.

What is he supposed to text next?

Akikujibu Asante, mjibu Asante kushukuru, then endelea kumtakia usiku mwema, asubuhi njema, mlo mwema daily kwa siku takribani saba, then muombe umtoe lunch or dinner one day, kwenye hiyo outing zungumza nae story za maisha na mtamkie ana kwa ana kuwa unampenda, atajibu tena Asante, na wewe mjibu asante kushukuru, wala usiingize story za sex au kum force akujibu anakupenda pia. Baada ya hapo mrudishe home kwao/kwake then nenda zako home.

Endelea kuchat nae kadri uwezavyo, then Fanya hivi,

Tafuta picha nzuri nzuri ulizowahi kupiga na wasichana warembo katika pozi za kawaida kisha mtumie kwenye WhatsApp bila kuweka maelezo yoyote, hakika atakuuliza hao ni akina nani? Mjibu ni marafiki zako wa kawaida. ANGALIZO Usimtumie picha za wapenzi wako wa zamani, au picha za mapozi ya kimahaba, Utapeperusha ndege.

Lengo ni kumtia wivu na kumuonesha kwamba wapo wakali wanaokukubali na kwamba sio yeye tu, na kwamba wewe kumchagua yeye ni maamuzi ya kweli.

Hapo endelea kumtamkia unampenda, nakwambia haichukui round atakujibu unavyotaka. Na utamfanya utakavyo.

Wakati mwingine kumtia wivu ndiyo mpango mzima.
 
Back
Top Bottom