Huyo jamaa sijui kala maharage ya wapiii... wa hovyo kweli... machine kama hii kweli niache kisa imevaa suruwale 😳... mtoto katisha balaa huyu hata mang'ombe manne natoa... ili nimuweka ndani
Kweli kumbe Delila wapo wengi. Nadhani huyu hata Samson asingeumia kutoa ile siri. Waona hata kifungo kasahau kukifunga lakini bado unywele wake ukakufanya uangalie vyema?? Delila weeeee