BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,104
- 14,029
Japo usawa mgumu ila ukivaa shanga narudi geto kufuata hela kwa ajili yako.
Akili za usiku.
Akili za usiku.


nimekumbuka mbali sana, kuna shoga angu ana vaa hizo vitu, huwa namuuliza ukivaa hizo vitu mpenzi wako anakuchukuliaje? Akanijibu wanaume wanapenda balaa! Weee mvalie xxxxx wako uone! nikamwambia vua moja unipe akanipa,Hahahahahaha pole ukaingia gharama ya kwenda kununua kumlipa mtu shanga yakenimekumbuka mbali sana, kuna shoga angu ana vaa hizo vitu, huwa namuuliza ukivaa hizo vitu mpenzi wako anakuchukuliaje? Akanijibu wanaume wanapenda balaa! Weee mvalie xxxxx wako uone! nikamwambia vua moja unipe akanipa,
nami nikamvalia xxxxx weeee ile kuiona umeaza lini mambo hayo nani kakwambia itaongeza upendo doooh! Akaivuta akaikata huko, mie doooooh umeikata shaga ya xxxxx.
Shoga angu wa shida huyo hawezi kudaiHahahahahaha pole ukaingia gharama ya kwenda kununua kumlipa mtu shanga yake
Japo usawa mgumu ila ukivaa shanga narudi geto kufuata hela kwa ajili yako.
Akili za usiku.
Tatizo la kuwa na mahusiano na watu wa international school nivalie Mimi mtoto wa Namtumbo.nimekumbuka mbali sana, kuna shoga angu ana vaa hizo vitu, huwa namuuliza ukivaa hizo vitu mpenzi wako anakuchukuliaje? Akanijibu wanaume wanapenda balaa! Weee mvalie xxxxx wako uone! nikamwambia vua moja unipe akanipa,
nami nikamvalia xxxxx weeee ile kuiona umeaza lini mambo hayo nani kakwambia itaongeza upendo doooh! Akaivuta akaikata huko, mie doooooh umeikata shaga ya xxxxx.
Balaa lake sio la kitoto penzi linakuwa hatari fireNikionaga mwanamke amevaa shanga huwa namuona mtaalamu na mtamu sana chumbani.
Na anajua kukata mauno na yupo romantiki sana. Nikiona shanga hata mnara unasoma.
Wauzie aisee😁😁😁Jaman wadada nafanya biashara ya kuuza shangaa
nimekumbuka mbali sana, kuna shoga angu ana vaa hizo vitu, huwa namuuliza ukivaa hizo vitu mpenzi wako anakuchukuliaje? Akanijibu wanaume wanapenda balaa! Weee mvalie xxxxx wako uone! nikamwambia vua moja unipe akanipa,
nami nikamvalia xxxxx weeee ile kuiona umeaza lini mambo hayo nani kakwambia itaongeza upendo doooh! Akaivuta akaikata huko, mie doooooh umeikata shaga ya xxxxx.
Ni ujinga na nyege za kitoto tu zinakusumbua. Wanawake wavaa shanga kiunoni ni makahaba wanaoiba wanaume kwa dawa za nguvu za giza kupitia shanga wazivaazo kiunoni.
Uhusiano wa shanga na uchawi ni nini? Kahaba na demu wa kawaida nani ni fundi kitandani? Unachotakiwa kujua shanga ni utamaduni Ila nyinyi watu wa digital mnageuza kila kitu cha utamaduni ni uchawi.Ni ujinga na nyege za kitoto tu zinakusumbua. Wanawake wavaa shanga kiunoni ni makahaba wanaoiba wanaume kwa dawa za nguvu za giza kupitia shanga wazivaazo kiunoni.
Wanaume wa kinondoni hao hawawezi kujua utamu wa hizi mambo.Pole sana... Siku ukikua utaelewa radha ya kuku wa kienyeji.