Mwanamke ukiona unatongozwa basi umedharaulika na sio unapendwa

We jamaa si ulisema mkenya?
Asa kumbe huko kwenu utaratibu upo hivi?.....Hamtongozani mnaparuana tu....
Huku bongo imekula kwako, hutopata kitu ukisubiri wakuonee huruma.
Haipo kenya tu utaratibu huu mkuu bali ulimwengu mzima
 
Sasa hayo Mapenzi automatic yanatokeaje...Kama mtu.mmekutana na hamjasemeshana...anatakuja TU ghetto kwako na kukuvulia Chupi?
 
Siku nyingine usiandike huu utopolo shenzy!! kama hujui kutongoza subiri kutongozwa.
 
Mapenzi hayana princple, yaani unalinganisha mapenzi na maswali ya kuchagua?🤔🤔🤔🤔
Kumpa mtongozo mwanamke cyo kumdharau, mwanaume inatakiwa ufunguke alaaaa.
 
Sijazungumzia ishu ya kusemeshana nimezungumzia ishu ya kutongozwa( as action)
Kwaiyo number uliomba, ukawa unapiga simu, mnapiga story..nawewe ulikuwa kabisa unanonesha Nia au uelekeo wakutaka kuwa nae. Sasa si umeshatongoza au mpaka useme nakupenda...?
 
uzi umeshamiri comments za makasiriko

Niliwahi kumwambia mtu hiki kitu
 
Back
Top Bottom