Mwanamke tu: Chumba kinapangishwa Changanyikeni Bondeni

Mwanamke tu: Chumba kinapangishwa Changanyikeni Bondeni

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,839
Chumba kipo Changanyikeni Bondeni kinapangishwa, kina tiles na gypsum. Maji yapo hapo hapo ndani, bei ni elfu 80 kwa mwezi.

Anahitajika mwanamke tu kwakuwa mama mwenye nyumba anasema vijana wengi wa kiume wamekuwa wakiingiza sana wanawake na kufanya nyumba yake kama guest.

niPM kwa maelezo zaidi.
 
Huyo Mwanamke ndio hawezi kuingiza wanaume? Unajua atakayelipa kodi ni nani? Akili kichwani!!!
 
...kwahiyo maza hausi anaona wivu,ama?
...kama vipi afugie kuku tu chumba chake,isiwe kesi!
 
Huyo Mwanamke ndio hawezi kuingiza wanaume? Unajua atakayelipa kodi ni nani? Akili kichwani!!!

ahaaaaa mbona mimi mwanaume hajawai kanyaga kwangu.? Hutujui wewe kuna wanawake wako smart huwezi amini
 
ahaaaaa mbona mimi mwanaume hajawai kanyaga kwangu.? Hutujui wewe kuna wanawake wako smart huwezi amini

Si umekutana na wanaume maboya? Siku hizi habari ya mjini ni kushtukiza tu kila mahali.
 
Kwa mwanamke mara nyingi ni ngumu sana kuingiza wanaume kwenye chumba chake maybe awe mwanamke ambaye hajieshimu but kwa anaejieshimu hawezi fanya ujinga huo makutano yenu yatakua guest lodge or kwa man aliyenaye.
 
hicho chumba bora akae mwenyewe tu aiseee... mwanamke akienda hapo ataleta wanaume
 
Kwa mwanamke mara nyingi ni ngumu sana kuingiza wanaume kwenye chumba chake maybe awe mwanamke ambaye hajieshimu but kwa anaejieshimu hawezi fanya ujinga huo makutano yenu yatakua guest lodge or kwa man aliyenaye.
ha ha ha si kweli .. kuna mmoja atakuwa anaingia lazima ..
 
Back
Top Bottom