Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

Mwanamke subiri uvuliwe, usivue mwenyewe

Kiukweli sipendi mwanamke anayevaa tait adi demu wangu nilishamwambia ila anajibu sasa nisipovaa tait huko barabaran nitatembeaje..

Demu anayekuja kwangu uvaee kyupi tu ila nikikuta tait dah stimu zinakata kabisa
 
Halafu Mimi sijaelewa mnaongelea ktk mazingira gani,
Labda ya uzinifu/uasharati
Coz Kwa wanandoa uzoefu unaonesha hakunaga kitu Kama hicho ,
Kama nakosea Niko tayari kusahihishwa !
Na ndo maana Hata wazee wa bandari wana kamsemo kao kuwa " ukikubali kuolewa ukubali kulala bila chupiz "
 
Kwa hiyo ktk muktaza wa Kwenye ndoa sizani kama hiyo kitu ina apply!
Tena mwanaume mwingine hapendi kabisa kuona mkewe akilala na chupiz ,
Isipokuwa Mke akiwa Kwenye zile Siku .........!
Tena wengine wanakwambia ndege wangu mwenyewe manati ya nini?!
Ndo maana Siku Za mapumziko Kama Hivi unakuta Bibi kavaa dera tupu na bwana msuli mtupu
 
Haipendezi hata kidogo...

Ila watakua na sababu...

1. Kama nguo aliyovaa ni nyepesi sana inawezekana akavua haraka haraka ili usije ukamchania...

2. Kama amekuona unanuka jasho na hutaki kwenda bafuni kwanza anajivua haraka haraka ili usije ukamuachia harufu zisizoeleweka...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom