Mwanamke sio mtu wa kubembelezwa

Mwanamke sio mtu wa kubembelezwa

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Nimejifunza kitu ndugu zangu,

Mwanamke sio mtu wa kumbembeleza kabisa, Zamani nilikuwa mtu ambaye nilikuwa na maisha ya furaha si kujua kubembeleza mwanamke nilikuwa na tongoza saana na Nili kuwa na kimbiwa na wanawake saana.

Na wote sababu yao ili kuwa moja tu eti mimi ni mkali Maana si kujua yale mapenzi ya kwenye video kabisa eti ukizinguwa ni kudekeze kwa maneno Kama mtoto mdogo ili kesho yake husikosehe Tena. Marafiki walinishauri eti una kosea mwanamke anatakiwa ufanye ivi ili akupende saana.

Ndugu zangu nilijaribu njia zao. Nika penda kadada kamoja ivi kalitaka kunitowa roho jinsi ninavyo jibembeleza kwake naye ndo kanazidi kupanda chat. Kalikuwa Kanasumbuwa akili yangu mpaka basi. Nimeshindwa nimekatukana Leo ivi na tumeachana. Ndugu zangu ninyi munawezaje kabisa kujibembeleza kwa mwanamke.
 
Huenda umewasilisha hoja yako vibaya au vinginevyo.

Ila ninachojua mimi, kwa mwanamke tumia akili siyo hisia.
Yaani akija hivi, msome kwanza halafu njoo kivingine.
 
Ha haa! hata mwanamme siyo mtu wa kubembeleza, inategemea makubaliano yenu yako vipi.
 
Sema umezingua kumtukana.
Huyo unamwita ghetto, unamvua pichu alafu unampiga miti sana muda huo huo unakua unamchapa makofi ya matak.oni.
 
Nimejifunza kitu ndugu zangu,

Mwanamke sio mtu wa kumbembeleza kabisa, Zamani nilikuwa mtu ambaye nilikuwa na maisha ya furaha si kujua kubembeleza mwanamke nilikuwa na
Kama ulivyoweza wewe kabla ya kupigwa knock out 😀😀
 
Kutukana ndio jau zaidi Bora ungemuonyesha misingi yako na kile unachotaka akishindwa ataondoka mwenyewe hakuna haja ya kauli mbovu kwa mwenzako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom