Mwanamke serios anaitajika

Kendk

Member
Joined
Dec 15, 2021
Posts
17
Reaction score
17
Naitwa jack umri wang miaka 32 natafuta mwanamke tuwe na mahusiano badae ndoa umri kuanzia miaka 26 mpaka 35 awe ameajiriwa.kwa aliye tayari karibu pm
 
Kwa hiyo sisi tuliojiajiri haturuhusiwi kabisa pm kwako?
 
Nimwambie ukweli mtoa mada au nimuache?
Sio wewe tuliyepelekana mpka kwa mtendaji usiku usiku kisa nilikuwa nimelewa๐Ÿ˜€
Ila jamani sipendi mwanaume mlevii
Kwa hiyo unanionea wivu unataka kuniharibia
 
Huwa nashangaa saana hapa jukwaani kigezo kikuu Cha uchumba ni Ajira au financial stability.

Ni Kama watu hawajawahi kuwa kwenye mahusiano.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ