Mwanamke pekee duniani

Nimeanza kusoma sura nimekunja.. Najisemea "huyu vipi"[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila ulivyomaliza nimesmilee.
Wanaume sasa ..wataanza kusoma wanafurahi...mwishoni watamaliza na mnuno[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilifikir ni kweli nitangaze ndoa kabisa...ila alivyomalizia kanimaliza[emoji52][emoji52]
 
Haombi hela yoyote kwasababu ni independent anajua kutafuta hela.
Hana mashosti ana marafiki wanaojitambua kama yeye.
Hana maneno wala kelele bali anajua kuongea kitu sahihi kwa wakati sahihi.
Huwezi kumuingiza mwanamke ndani kwasababu hakupi sababu ya kufanya hivyo.
Hahitaji kulipiwa mahari kwasababu she is priceless.
Ukimpeleka nyumbani ni kweli kuna amani kwasababu hata yule dada mwenye mdomo mrefu atafunga mdomo wake.
Hata usipomvalisha pete hasemi kitu kwasababu pete is just another piece of metal.(Pete imewahi kuzuia watu kufanya maovu au kuahirisha/kuvunja ndoa? Haijawahi.)
Hakusumbuai anataka ndoa wewe mwanaume ndio utahahngaika ili umoe asije kuolewa na wengine.
Huwezi kumfanyia uonevu wowote kwasababu hakupi sababu wala nafasi ya kufanya hivyo
Huyo mwanamke ni mwanamke kama wewe sema anajitambua.
 
Wee umeshinda rondo. Njoo uchukue zawadi yako
 
Wapo.. Wengi sana hasa vijana wa kizazi hiki.
Anapachika mimba thn kwisha
Anajuweka ndani
Katoe mahari anakwambia subiei mwakani
Unashangaa miaka kumi inafika
Ni kukwepa majukumu ,a man should be responsible to be a man enough
 
You twisted into what would make a man be a man....it is reciprocal matter
 
Ni kukwepa majukumu ,a man should be responsible to be a man enough
Tell em... Hata ukiskip kwa mke bado kunakuja watoto tena ni majukumu maradufu kyliko mke
Kama hutaki majukumu baki peke ako
 
Hapa umenena mkuu ukisikia wife material ndio hawa.
Cc aggyjay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…