Kwa kweli amenikomesha kwa attentionNimeanza kusoma sura nimekunja.. Najisemea "huyu vipi"[emoji23][emoji23][emoji23].
Ila ulivyomaliza nimesmilee.
Wanaume sasa ..wataanza kusoma wanafurahi...mwishoni watamaliza na mnuno[emoji23][emoji23][emoji23]
Naunga mkono hoja.
Hasemi pia ''baby nikuambie kitu.."
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Haombi gegedo kwa kua anataka kutunza bikra yake....
Then I suppose I have the smartest wife in the planetHakuna
Sioni tatizo kwa demu wangu kuniomba hela,sasa wanataka waombe kwa nani? Demu hawezi kukuomba hela kama haoni mazingira ya kupata.Kila siky mizigamizinga wanatakaje
Hao ndo wake sasa.Haombi hela kwenda kusuka saluni sababu hasuki
Haombi hela ya losheni au cream sababu hapaki mafuta
Haombi hela ya makeup wala wanja haitaji kupaka
Hatokuomba hela ya shopping
Hatokuomba nauli au umtoe out sababu haendi kokote labda we uamue kumpeleka basi
Hakuombi hela ya break,lunch wala dinner
Hana mashosti so hatokupa stress
Hana maneno wala kelele.atakua anasikiliza kile unachpongea wewe tu
Hata siku ukiingiza mwanamke ndani ye hatofanya wala kusema chochote wala haondoki..halii hafoki
zaidi unaweza mfanya wee usiku kucha wala halalami.
Haihataji kulipiwa mahari labda gharama za kumtoa tu kule aliko umlete huku
Hata ukimpeleka kwenu kutakua na amani.. Mawifi wakimsema ye wala hajibu mtoto wa watu yupo kimya harespond so hutoskia michambano kabisaa
Hata umvalishe pete ya kuokota he wala hasemi mtoto wa watu hana msimamo
Hakusumbui kabisa kua anataka ndoa
Unaweza mfanyia kila uonevu we mpige hata usiku kucha.. Halii wala harudishi kofi
Huyu mwanamke ni zile sex dolls zile zilizobuniwa na wazungu. Sio binadamu mwenzio mwenye nyama na roho.
Hao ndo wake sasa.
Mbona wapo especially wale waliolelewa kijijini kwani wana maadili mema.
Yeah wapo.. Ila kukimbia majukumu sio solutionKumtunza mke ni Kipaji
na kumpata mke ni bahati
Wengi hawafai kupewa sifa ya kuitwa mke
ila wapo wachache wenye kujitambua,wapo wachache...
Nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mwanamke ni mdoli kweli.
Wanaume ifike mahali wajue wajibu wao. Uanaume sio kibesi tu, kumtunza mkeo muhimu.
ahaaHaombi hela kwenda kusuka saluni sababu hasuki
Haombi hela ya losheni au cream sababu hapaki mafuta
Haombi hela ya makeup wala wanja haitaji kupaka
Hatokuomba hela ya shopping
Hatokuomba nauli au umtoe out sababu haendi kokote labda we uamue kumpeleka basi
Hakuombi hela ya break,lunch wala dinner
Hana mashosti so hatokupa stress
Hana maneno wala kelele.atakua anasikiliza kile unachpongea wewe tu
Hata siku ukiingiza mwanamke ndani ye hatofanya wala kusema chochote wala haondoki..halii hafoki
zaidi unaweza mfanya wee usiku kucha wala halalami.
Haihataji kulipiwa mahari labda gharama za kumtoa tu kule aliko umlete huku
Hata ukimpeleka kwenu kutakua na amani.. Mawifi wakimsema ye wala hajibu mtoto wa watu yupo kimya harespond so hutoskia michambano kabisaa
Hata umvalishe pete ya kuokota he wala hasemi mtoto wa watu hana msimamo
Hakusumbui kabisa kua anataka ndoa
Unaweza mfanyia kila uonevu we mpige hata usiku kucha.. Halii wala harudishi kofi
Huyu mwanamke ni zile sex dolls zile zilizobuniwa na wazungu. Sio binadamu mwenzio mwenye nyama na roho.
Kama nawaona wanaume wanavyokunja ndita baada ya Kumalizia haya ya mwisho
ahaa
Hapo sawa