Mkuu watoto wanne ndio umesha conclude kwamba kila ukitembea na mwanamke lazima apate mimba tena mapacha,kwahiyo mapaka sasa umetembea na wanawake 2 mpaka 4,sasa mbona idadi chache sana au umeanza kutembea nao mwaka 2018? Au hao wengine wanatoa hizo mimba?