miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
mwanamke tabia nyonga hata kwa mchina zipo
kweli sura nitapiga carolite
kifua nitatumia silicon
inye nitajaladia
miguu je? kama una fito ni fito tu
nilisalimika aisee sijui ningeishije mjini mwee!
We nawe..... Ina maana mi unanivumilia tuu..???
dah...unanikatisha tamaa
mchakato wa katiba si unaendelea labda wanataka kuingiza katiaka rasimu hayo mamboHivi vita vitaisha lini hapa jukwaani??? Men vs Women mnamatatizo gani? Kaeni chini myamalize
Enheee na ukate tu tamaa, vya watu hivyo... Kama huna hela wanawake wazuri hapa mjini utaishia kuwaita shemeji tu...
kuna madildo siku hizi ...
asante ndo nanyoosha kimini changu cha kesho si unajua kesho kikao cha weekly reportHongera.
artificial dusheleleMadildo?
And what's that? OMG, jei efu kweli zaidi ya shule
kazana kutafuta Pesa kijana......hiyo ndo iwe changamoto
Kaka avatar sio halisi hizo,omba kukutana na mhusika utacheka upasuke. Ila Heaven atakuwa mrembo bila shaka.