Mwanamke ni nani?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,209
Reaction score
99,959
Mwanamke:
Anaweza kufanya jengo kuwa nyumba, nyumba ya amani na furaha

Anaweza kukufanya ukafanikiwa na kubarikiwa

Anakupa watoto kwa Majina yako, anabeba majukumu yako kwa watoto wako.

She is a comforter, a Counselor and a Guardian Angel.

Anatabasamu anapokua na Uchungu, na analia anapokua na furaha! Ni jasiri.

Ni muombezi wetu, ni mtunza Siri zetu na madhaifu yetu.

Anavumilia, Analea, ni mwelewa.

Ni MWANAMKE

HESHIMA KWA MWANAMKE, Heshima kwako, Heshima kwako, umethibitisha wewe ni jasiri!

Always

Elli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…