Mwanamke ni kiumbe wa sifa zipi?

Mwanamke ni kiumbe wa sifa zipi?

Ezequiel

Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
45
Reaction score
14
Kamusi na vitabu vyote duniani hakuna kilichokidhi kutoa maana ya neno (define the word woman) mwanamke hata biblia haikuweza kumueleza mwanamke ni mtu wa aina gani.

Inasema mala nivigum kuish na mwanamke mwenye makelele kama ilivyo kazi kwa miguu ya mzee kupanda/kutembea mchangani;" Mara inasema ishini kwa akili sana na wake zenu,"" maneno haya miongoni mwa mengine mengine yananifanya niamini kua hata biblia haikuweza kutueleza dhahili maana ya mwanamke (it hides something about the woman!)
Unahitaji kumsoma kurasa na maada nyingi sana ili upate kumjua mwanamke ni nani.

Huyo ndiye mwanamke asiejali madhara ya matendo atendayo ilihali huthamini zaidi malengo na kusudi la tendo alilodhamiria, tayatayarle angalau milo miwili lakini kucha zake ziendelee kung'ara, yuko tayara nusu ya mshahara wake wote ilhali nywele zake ziendelee kuwa maridadi huyo ndie mwanamke?

Je, MWANAMKE NI KIUMBE WA AINA NA SIFA ZIPI?
 
pitia hii series ya vitabu kuweza kujua mwanamke ninani.

hii ni vol 1 kuna hadi 10...
 

Attachments

  • manual.jpg
    manual.jpg
    14.8 KB · Views: 192
Mwanamke ni kiumbe makhsusi ameletwa kwa ajili ya kumsapot, na kumfariji mwanaume.
 
Ni macroorganism yeyote anayeruhusiwa kuingia mlango ulioandikwa "Ladies Washroom"
 
Back
Top Bottom