Mwanamke ni kama BAHARI!!

Mwanamke ni kama BAHARI!!

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,285
Reaction score
39,490
Wanaume nadhani tumeshaelewa nini nina maanisha hapa. Usije hata siku unasema unamfuatilia mwanamke hutafanikiwa hawa wenzetu wanasiri kubwa sana huwa wanaziweka moyoni. Wanaroho zaid ya chuma ndomana tunaambiwa tuishi nao kwa akili

"Mwanamke ni kama bahari unalinda coco beach wenzako wanaogelea ununio beach"
 
Kosa sio lao, ni la mwanaume kwa kuwa wanaogelea ununio beach ni waogeleaji kama unaolinda coco.Tufanye mgomo wa Taifa wa kupinga michepuko watatulia tu kwao Ila kwa wale wasio na hati miliki ya mwanaume hata mmoja ni shiiida mniwie radhi tafadhar ni mtazamo tu haitakaa itokee.
 
HATA KATIKATI YA MIGUU YAO NI KAMA BAHARI.
 
Kosa sio lao, ni la mwanaume kwa kuwa wanaogelea ununio beach ni waogeleaji kama unaolinda coco.Tufanye mgomo wa Taifa wa kupinga michepuko watatulia tu kwao Ila kwa wale wasio na hati miliki ya mwanaume hata mmoja ni shiiida mniwie radhi tafadhar ni mtazamo tu haitakaa itokee.

Miaka bilion haiwezkan
 
Ukiona hivyo wakati ww unalinda huko coco beach yeye kumbe anaogelea ununio beach ww kata mkia tu awe kama Membe na Tostam Azizi hutojututia na wala hutolinda tena
Wanaume nadhani tumeshaelewa nini nina maanisha hapa. Usije hata siku unasema unamfuatilia mwanamke hutafanikiwa hawa wenzetu wanasiri kubwa sana huwa wanaziweka moyoni. Wanaroho zaid ya chuma ndomana tunaambiwa tuishi nao kwa akili

"Mwanamke ni kama bahari unalinda coco beach wenzako wanaogelea ununio beach"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom