Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

Japo sijasoma yote ila heading inatosha kukujibu, Umeongelea wanawake unaokutana nao tu barabara au hadi wazazi wako, dada zako na ndugu zako wa kike pia umewajumuisha pamoja. Before ujatumia neno wanawake jaribu kufikiria kwamba hao hao ndo muunganiko wa mama zetu, dada zetu pamoja na ndugu zetu wadada na wamama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh namhurumia gf/mke wako. Mwanaume mwenye mtazamo wa hiv ni hatari kwa afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sio kejeli Mkuu.

Hata mama yangu na mama yako wanaingia kwenye kundi hilo la mada yetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama unaniteka vilee ili nikuelewe.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Too bad...tunawaudhi,tunawapa dhiki na kuwagaragaza kama kambale(refer case ya Hamida)

Kiufupi sisi ndio weakness point yenu kubwa​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…