Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Yusufu ni mfano wa kuigwa, alitambua anguko linalomnyemelea kupitia mke wa bosi wake, alimkimbia na kumwachia kanzu.ukimkuta uchi mwanamke unampita bila kugeuka.
Toeni na mifano iliyo hai basi.Ukiona mwanamke amekuwa chanzo cha anguko lako kwa Kiasi kikubwa wewe ndo umechangia kusapoti hilo anguko
Ni kweli kabisaUkiona mwanamke amekuwa chanzo cha anguko lako kwa Kiasi kikubwa wewe ndo umechangia kusapoti hilo anguko
Yusufu ni mfano wa kuigwa, alitambua anguko linalomnyemelea kupitia mke wa bosi wake, alimkimbia na kumwachia kanzu.
Na chanzo cha anguko ni hao wanawake mapepeduuuh, tumeanguka wengi sasa.
Tamaa huwa haiji pasipo kushawishiwa. Wanawake wana mbinu zao za kumshawishi mwanaume, wahanga wanazijua hizo mbinu.Wanaoanguka ni wenye tamaa tu sema mnaaminisha tu kwamba wanawake wanachangia.
Ni mwanaume dhaifu tu ndiye anayeshawishiwa na mwanamkeTamaa huwa haiji pasipo kushawishiwa. Wanawake wana mbinu zao za kumshawishi mwanaume, wahanga wanazijua hizo mbinu.
Unashikaje namba mbili nyumbani...final say ni me no matter whatHii thread iwekewe lamination.
Binafsi ni mhanga wa anguko la kiuchumi lililosababishwa na mwanamke. Tuish nao kwa akili
AiseeInasemekana hata mfalme Seleman alishawishiwa na wanawake akawa mtu wa kuabudu sanamu.
Ni yule mwanamke ambaye alimuiba kwa askari wake.Inasemekana hata mfalme Seleman alishawishiwa na wanawake akawa mtu wa kuabudu sanamu.
Maisha ni mfumo dume, otherwise haujiulizi kwann wanawake wakianza kutafuta maisha wenyewe bila wanaume nao wanaanza kutaka kuwa wanaume.Hata wanaume ni chanzo cha anguko la wanawake
Sema hizo stori hatuzisikii sana....
Tunavyoishi kimfumo dume karibia kila kitu kinaegemea upande wa wanaume
No woman no cryAwali ya yote niweke wazi kuhusu hili bandiko kwamba ninapotumia neno mwanamke mbaya simaanishi wanawake wote ni wabaya. Ni kweli kuna wanawake wabaya kitabia, lakini pia kuna wanawake wema hivyo tusiwachukulie wanawake wote kuwa ni wabaya.
Sasa tuendelee....
Kwa mujibu wa Biblia mwanamke ametumika sana kuangusha wanaume, na hadi hii leo maanguko mengi ya wanaume husababishwa na wanawake.
Anguko lq kwanza la mwanaume lililosababishwa na mwanamke lilifanyika pale bustanini Eden, yaani kwa anguko hilo wanaume wote tunakula kwa jasho. Baada ya hapo yalifuata maanguko mengi tu.
Samsoni aliua maelfu ya wafilisti peke yake, lakini alikuja kudodoshwa na mwanamke.
Mfalme Daudi alikuwa na upako aliua Simba na Dubu na alimuua pia yule Goliath mfilisti, lakini alikuja kuangukia kwa mwanamke tena mke wa mtu. Nk
Mwanamke mbaya atakufanya uwe mkate (Mithali 6:26)
Amewaua mashujaa - ni njia kuu ya kuzimu ( Mithali 7:27-27)
Tukiachana na hao waliotajwa katika Biblia bila shaka katika eneo lako unakoishi unawajua baadhi ya wanaume walioangushwa na wanawake.
Ukiwa kama mwanaume jitahidi usiangushwe kama hao uwajuao.
Ubarikiwe.