Mwanamke ni afadhali anuke kikwapa!

Mara kumi hata anuke kikwapa!


Wewe "kikwapa" hasa unakijua vizuri au unasema tu??-- si nafuu hizo carolites na vipodozi mwanamke anaweza kuachana navyo, je kikwapa anaweza kuachana nacho??!!
 
Bora kikwapa kuliko carolight aisee. Kikwapa kinaashiria mwili uko kwa job vizuri. Napendelea sana mwanamke mwenye kikwapa hasa kile hadi vinywele ya kwapa vimebadilika hadi rangi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenifanya nicheke kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha nimecheka kwa herufu kubwa wewe ni wa kipekee.
 
Wewe "kikwapa" hasa unakijua vizuri au unasema tu??-- si nafuu hizo carolites na vipodozi mwanamke anaweza kuachana navyo, je kikwapa anaweza kuachana nacho??!!
πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni sawa tuu na kumtumia dem wako maua.
Kesho anakutumia text.
"bebi mbona ile Mboga ulioleta ni chunguu"
Za mwenzio changanya na zako
 
Kwani wamekugusa ambapo huguswagi hadi uteseke sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila mkuu kunakuwaga na tuarufu fulani twa kikwapa kanakuaga amazing [emoji23][emoji23][emoji23] wajuvi wanajua hako kaharufu sitaki kusema snaa, ani ani ani dah kama tuarufu fulani hivi twa papa safi ute ute flani kabla hujaanza kumla au ukiwa unamla lohhh hizo harufu na ziheshimiwe

Nimeandika nini vile[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…