Mwanamke na mwanaume hakikisha umepita hapa

Safi sana maana kuna mijanaume bana acha tu ichapiwe.....isaidiwe kulea mke maana hajui hata mke wake anapata wapi hela ya nguo mind you mke hapo anakazi ya 300tho tsh kwa mwezi....Mume hata kusema haka kalaki darln for shopping ya pichu hakuna halafuu oonh mke wangu hajui kuvaa....shame on you lijanaume lenye tabia ya hiviiii
 
hahahaha lol kama nakuona vile shost unavoongea
 
well said Kukucd! imenena ya ukweli hakika kila Aliyeoa na kuolewa Na anamuogopa Muumba wake na aheshimu muungano wake na mwenzie na audumishe! Huwezi sema nampenda mke au mme wangu ikiwa humtunzi!

Biblia inasema mkaishi kwa upendo! maana yake kila mmoja analo jukumu la kumpenda mwenziwe! na kupenda ni kujali kusikiliza kuhurumia na vionjo vingine!!!
 
Back
Top Bottom