Mwanamke mzuri nimempata

Bola hiyo nikiwa na miaka 6 kaka yangu alikula KWA mchungaji nikamuahidi sito sahau mpaka leo namkumbushaga
Yan wewe huwa unanifurahisha sana comment zakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚unawazaga nini mrembo
 
Tuachane na huyo kuna mtu anaitwa babu junior utamsikiaaa Oooooooooooh oooooooooh aha aha aha mr chocolate kula nanasi kwahitaji nafasi weeeeee tulikua hatupumui
aisee wewe mrembo mambo yote ayo ulikuwa unayajulia wapiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…