Mwanamke mzuri ni yupi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,082
Reaction score
62,001
Ni yule asiyekupiga mizinga na haji kwa wakati pale unapomhitaji au ni bora yule anayekupiga mizinga na anakuja kwa wakati pale unapomhitaji?

Nikimaanisha huyu anakuja kwa wakati akijua kuna hela atachukua, na yule mwingine anakuambia ana mapenzi na wewe ya dhati na ahitaji hela zako, lakini haji kwa wakati pale unapomhitaji.

Hii imetupelekea badhi ya wanaume tukijiandaa kwa shoo, tukijua wapenzi wetu wanakuja, mwisho wa siku hawatokei na kutusababishia maumivu ya mioyo yetu.

Wakuu, mwanamke mzuri ni yupi?
 
Mwanamke gani tulia na mkewako hayo maswali waliosingle ndo waulize๐Ÿ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ