Mwanamke mzuri ni msumbufu?

Mwanamke mzuri ni msumbufu?

young eagle

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
29
Reaction score
4
Habarini wanandugu woote wa humu ndani.

Mara nyingi nimesikia maneno haya ya vinywani mwa watu kuwa ukimpata mwanamke mzuri lazima uwe roho juu na lazima uumie kichwa mara kwa mara.

Na hii hutokana na kupendwa/ kutamaniwa na wanaume kibao, lakini pia eti wanawake wengi warembo hawajatulia na hata wakiingia kwenye ndoa ni wasumbufu na hawana muda wa kuitunza ndoa na wengi wao hawanyenyekei na kuomba msamaha hata wakijua kosa haya ni baadhi tu lakini yapo mambo kibao yasemwayo juu yawa wanawake warembo.

Vipi wewe mwana jamvi unaliongeleaje suala hili.

Naomba kuwasilisha nahitaji maoni yenu.
 
Kama unahisi ulichoambiwa ni ukweli unatakiwa uoe mwanamke asiye mzuri ili uwe unapata kisingizio cha kuchepuka na kutoka out na watoto wazurii

sasa je si umeamua
 
Kama unahisi ulichoambiwa ni ukweli unatakiwa uoe mwanamke asiye mzuri ili uwe unapata kisingizio cha kuchepuka na kutoka out na watoto wazurii

sasa je si umeamua

Hahaaaa
 
Siyo wasumbufu ila gharama za kuwatunza ni kubwa.
 
Kama unahisi ulichoambiwa ni ukweli unatakiwa uoe mwanamke asiye mzuri ili uwe unapata kisingizio cha kuchepuka na kutoka out na watoto wazurii

sasa je si umeamua
Kwanini wanawake wazuri?! inamaana wewe sio mzuri....amini wewe ni mzuri kuliko yeye... hawata kusumbua kamwe.
 
Its all sums to ''PRIDE''

Doing a reference from the book called Bible, here we go:-
Proverbs 3: 34 ''He has no use for conceited people, but shows favor to those who are humble''

James 4:6 But the grace that God gives is even stronger. As the scripture says, "God resists the proud, but gives grace to the humble."

1 Peter 5:5
In the same way you younger people must submit yourselves to your elders. And all of you must put on the apron of humility, to serve one another; for the scripture says, "God resists the proud, but shows favor to the humble."
 
Fanya uchunguzi wa kutosha haina cha mzuri wala m-baya wakianzisha mtiti hicho sio kigezo.
 
uzuri si tabia ya mtu ujue mwanamke mzuri kushindwa dumu katika mahusiano ni hulka ya mtu
 
Its all sums to ''PRIDE''

Doing a reference from the book called Bible, here we go:-
Proverbs 3: 34 ''He has no use for conceited people, but shows favor to those who are humble''

James 4:6 But the grace that God gives is even stronger. As the scripture says, “God resists the proud, but gives grace to the humble.”

1 Peter 5:5
In the same way you younger people must submit yourselves to your elders. And all of you must put on the apron of humility, to serve one another; for the scripture says, “God resists the proud, but shows favor to the humble.”

Absolutely truth
 
Hizo ni dhana tu ambazo hazina msingi,mwanamke inategemea utakavyomchukulia,all in all inategemea sana ww binafsi umemuwekaje na unamchukuliaje frm the beginning,he has to follow your culture
 
Fanya uchunguzi wa kutosha haina cha mzuri wala m-baya wakianzisha mtiti hicho sio kigezo.

Ila mkuu mwanamke akijijua mrembo na akawa anasifiwa kila kona akianzisha mtiti yaan utambembeleza mpaka uchoke
 
Hizo ni dhana tu ambazo hazina msingi,mwanamke inategemea utakavyomchukulia,all in all inategemea sana ww binafsi umemuwekaje na unamchukuliaje frm the beginning,he has to follow your culture

It means utakiw kumlemba lemba?
 
Back
Top Bottom