Mwanamke mzuri ni msumbufu?

Mwanamke mzuri ni msumbufu?

mbona me mzuri na nimetulia na ndoa mwaka Wa tank sasa

Hongera najua kwa nn umetulia ni kwa sababu umeokoka na unahofu ya Mungu bila hivyo ni ngumu....ntamwomba Mungu anipatie kama wewe:thumbup::thumbup:
 
ukiwaendekeza tuu mwenyewe...wanawake ni walewale tuuu....af pia mbwembwe za utotoni inafika pointi wanatulia wala sio wapole...wanakula ujana tuuu.....utulivu ni moyo na kujitambua hata akiwa mzuri...pia anakutega akikusumbua...sa we ukionekana boya tuuutalia...kaa vipi nawe wachukulie poa tuuu
 
They say, if you can't stand the heat, then stay the hell outta kitchen Youngblood. Let the Standouts stand-out, and the regulars stay regular. Choose a side, and ride with it.
 
11822364_10153722913678676_2816815654591715423_n.jpg
 
Habarini wanandugu woote wa humu ndani.

Mara nyingi nimesikia maneno haya ya vinywani mwa watu kuwa ukimpata mwanamke mzuri lazima uwe roho juu na lazima uumie kichwa mara kwa mara.

Na hii hutokana na kupendwa/ kutamaniwa na wanaume kibao, lakini pia eti wanawake wengi warembo hawajatulia na hata wakiingia kwenye ndoa ni wasumbufu na hawana muda wa kuitunza ndoa na wengi wao hawanyenyekei na kuomba msamaha hata wakijua kosa haya ni baadhi tu lakini yapo mambo kibao yasemwayo juu yawa wanawake warembo.

Vipi wewe mwana jamvi unaliongeleaje suala hili.

Naomba kuwasilisha nahitaji maoni yenu.


wacha nisumbuke tu...siwezi kujizuia kupenda vizuri.
 
'Mwanamke mzuri ni mbaya sana kwa sababu kasoro zake Zimefichwa na uzuri wake'
 
inategemea huyo demu mzuri mwenyewe unamgonga kwa uzuri gani kama unamgonga umfikishi hata demu mbaya atakusumbua tu
 
Back
Top Bottom