Mwanamke mzuri huyu hapa

Wakereketwa wa dini msijichanganye….kuna wanaosali kiusanii ili waonekane wema na ndiyo walio wengi
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] loh
 
Mungu atusaidie kwa kweli !
Unajua its true that,love is not all about kumtafuta a Perfect one ....ila kiukweli ukitaka kufurahia maisha ya mahusiani. Nilazima uhakikisha hata km hajakamilika basi jitahidi kupunguza athar za uharibifu ..angalau awe anauelekea ukamilifu .

Ila hii zoa zoa ,utaja leta uzi humu ukisema "" Msaada wenu wadau mpenzi angu amenisalit , nambaya amekiri nisababu ya pombe"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Nawana JF walivyo naroho mbaya, wanakuambia ,msamehe tu kama amekiri.

Naww ulivyojinga, unasamehe kosa, bila kujua km ameacha kilichomfanya akusalit hahaha wanaume bana ,are so weak.
 
Mhhhhh mwanamke anayekunywa pombe mimi na yeye mbali mbali
 
Maneno ya kweli lkn siku hizi utakutana mdada anajifanya kunena kwa lugha ukishamweka ndani baada ya miaka kadhaa utaona anakushawishi , 'hebu tukae na huyu kijana tumsaidie' ukifuatilia utakuta alimzaa kitambo ni mwanae.
"MUNGU ATUPE MACHO YA ROHONI ILI TUWEZE KUONA WASANII NA KUWAKIMBIA"
 
Kwa kweli wanaume tuna mateso siyo mchezo kabisa
 
Sawa kabisa,kuishi sawa na mapenzi ya Mungu kuna faraja sana kwenye ndoa..
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] msamehe tu na wasamehe kirahisi hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…