Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,642
- 4,476
Mwanamke mzuri ni yule aliye na vishawishi kwa mumewe mbele za Mungu.sio yule mwenye ushawishi mkubwa kwa mumewe kuhusu kutopitwa na fashion na mambo ya kidunia.kwani itamfaa nini mtu kupata kila kitu cha dunia na kukosa ufalme wa Mungu?
Ninyi mliokutana na kupendana kwa jina la Bwana hakika hakuna binadamu awezae kuwagombanisha mkisimama katika imani. Kwani Bwana alisema "wakutanapo wawili kwa jina langu,basi mimi ni kati kati yao" Maana ya upendo katika Bwana ni nini?
Pale mmoja anaposhindwa na majaribu na kuanguka,mwingine awe tayari kwa kufunga na kuomba kwa ajili ya mwenzie.Hapo ndipo mtakapojua nini maana ya Mungu asiyeshindwa na kitu.