Mwanamke mwenzangu, Je ni lini mara yako ya mwisho kuangalia utupu wako?

Jamani kuna thread niliisoma humu, lakn comment za watu wengine zilinipa walakini, Eti Tabia ya kuingiza kdole cio nzur eti kwamba ina madhara take mi nkajiuliza sasa kama ndo hvyo mbna mi ntakuwa nmejiharibu coz kla cku najisafisha papuchi na siwezi kusafsha uko ndani bila kutumia kdole.. ntoeni ushamba tafadhali
 
weee hivi unasafisha sebuleni tu na chumbani unasafisha piaaa???
 
Mwalla cjui hujanielewa, ni hivi kuna baadh ya watu walicomment ya kuwa kuingiza kdole papuchini kuna madhara, sasa mi nkajiuliza utajisafishaje bla kutia dole uko shmon? Na kama kuna madhara mi ntakuwa nshapata, sasa je nauliza kuna alternative way ya kujisafisha kwa bibi?
 
Naona na sie wengine leo tumeachiwa tuzamie mnuso wa bure maana hadi kwa kualikana
 
Jamani kuna thread niliisoma humu, lakn comment za watu wengine zilinipa walakini, Eti Tabia ya kuingiza kdole cio nzur eti kwamba ina madhara take mi nkajiuliza sasa kama ndo hvyo mbna mi ntakuwa nmejiharibu coz kla cku najisafisha papuchi na siwezi kusafsha uko ndani bila kutumia kdole.. ntoeni ushamba tafadhali

My dia unatakiwa ujiswafi utoe utoko ila sio kiivyo
Utoko wa mchana ni kwa ajili ya kulinda papuchi huwa hatushauriwi kuutoa

Utoko wa usiku ni uchafu bacteria wake si salama unatakiwa asubuh ujiswafi na maaji safi na salama

Hakikisha mikono yako ni safi unayotumia kujiswafi ...usitumie sabuni cos ni chemical
Papuchi laini haihitaji chemical yoyote mwanamke usafi
 
Hivi wale wanaofuga kucha ndefu na kuongezea za bandia huwa wanajisafisha vipi huko kunako ikulu zao? Samahani akina mama "I was just curious" mimi ni mwanaume na ile yangu huwa naiangalia kila siku.
 
My dia unatakiwa ujiswafi utoe utoko ila sio kiivyo
Utoko wa mchana ni kwa ajili ya kulinda papuchi huwa hatushauriwi kuutoa

Utoko wa usiku ni uchafu bacteria wake si salama unatakiwa asubuh ujiswafi na maaji safi na salama

Hakikisha mikono yako ni safi unayotumia kujiswafi ...usitumie sabuni cos ni chemical
Papuchi laini haihitaji chemical yoyote mwanamke usafi

Umesaidia wengi kuelewa my dia ICHANA
 
Nyie kina dada mishipa ya aibu imekatika kabisa...sasa ndio mambo gani mnaongea hadharani haya! mnalalamika hatuwaheshimu kumbe wenyewe ndio hamjiheshimu!!!! ndio maana niliomba mods walifunge hili jukwaa!! pumbaffff kabisa!!!!!!

Heshima ni nini?
 
Naona na sie wengine leo tumeachiwa tuzamie mnuso wa bure maana hadi kwa kualikana

Eeeeh taratibu shamjibu ila wewe unanga'ania tuu ...usije kukimbia mwishowe
Eti huwa unachungulia gegedo lako
 
Back
Top Bottom