D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
- Thread starter
- #21
Vijana mnaangamia kwa ukosefu wa Maarifa mnatafuta nuksi na mabalaa kwa pesa mambo yakiwa hayaendi mnakuja kulalamika na kuomba ushauri ulichokiandika Unaweza kuona Kama ni sifa nzuri ila ipo siku litakuletea matatizo makubwa otherwise unaentertain watu hapaKwani walikwambia wanakutaka?
Ungejua wanakuwaga watamu sana hao, ushaingia mjini mzee acha kufatilia mambo ya watu!