Ndogo jaribu kufikiria sana kinachomfanya amakatae mzazi mwenzio ndicho hicho kitakachomfanya akukate wewe...
Hakujua kuwa kutakuwa na tofauti ya dini hapo baadae mpaka leo kumuona kuwa hafai?
Je wazazi wako waliowana wakiwa na watoto njee ?
Ungelikuwa wewe ndio mwanaume huo unsengenywa na mzazi mwenzio kwa mwanaume mwingine ungelichukuliaje wakati mumeshazaa na kuishi pamoja zaidi ya miaka mpaka mtoto ana miaka mitano?
Siyo kila kitu uambiwe wanawake ni viumbe unique ataapaa kuwa hata usipomoa hatakubali kukaa na huyo mwanamke lakini kumbuka ni wepesi wa kusamehe pia?
kwa nini tunawaonea wanawake? kwahiyo na wanaume wenye watoto kabla ya kuoa hawafai?
Kaka usijidanganye kwa hayo maneno hapo ana jitetea ili apate kuolewa, kuna kitu ana jaribu kukuficha.wanawake wako very fragile,you need to be smart to read them kama uko tayari kuwa mvumilivu pindi utakapo saidiwa na mume mwenzako basi muoe huyo dada kama una moyo mdogo basi tafakari mara mbili mbili usije ukaishia jela.Hawajawahi kuishi pamoja mkuu. Ni ajali tu za ngono hizo. Kikubwa alichoniambia ni kuwa pamoja na tofauti hizo za kidini hampendi jamaa...na hajui ilikuwaje kuwaje. Hayo mengineyo ngoja nishushe pumzi..!
Kaka usijidanganye kwa hayo maneno hapo ana jitetea ili apate kuolewa, kuna kitu ana jaribu kukuficha.wanawake wako very fragile,you need to be smart to read them kama uko tayari kuwa mvumilivu pindi utakapo saidiwa na mume mwenzako basi muoe huyo dada kama una moyo mdogo basi tafakari mara mbili mbili usije ukaishia jela.
Umeelewa mada/swali langu?
Mimi mama yangu aliolewa akiwa ana mtoto na mwanaume mwingine tayari ...Family friend wetu alikuwa mzee ambaye pia alioa mwanamke ambaye tayari amezaa na mwanaume mwingine..hawa wote wako kwenye ndoa zaidi ya miaka 35...sisemi ndoa zao hazikupitia matatizo...ndoa zote zina matatizo...na mwanamke kuwa amezaa na mtu mwingine haimfanyi kuwa mke mbaya au bora zaidi..unless kama hujui unachotaka..
not necesary kama mwanamke anajielewa sio lazima agegedwe na ex wake.[/QUOTE
Well said
Kijana usiishi kwa mazoea wewe umesahau kuwa hiki ni kizazi cha dot com?
Mimi sina shida nao...muhisika ataamua mwenyewe cha kufanya...nilichokuwa najaribu ni kumpa uzoefu wangu kwa hao wanamawake walioolewa wakiwa wamezaa na wanaume wengine..
Single mothers ha2aminiwi cjui kwa nin maskini,inaniuma sana,being a single mom is a chalenging task,please marry her if u do love her and learn 2 trust her,...good lucky bro'
That is why nikasema hiki ni kizazi cha .com tofauti na kizazi cha wazee wetu ambao walikua wanajitambua ndio maana wameweza kudumu kwenye ndoa zao miaka 35....jiulize kwa nature ya wanawAke wa leo wanaweza?
Single mothers ha2aminiwi cjui kwa nin maskini,inaniuma sana,being a single mom is a chalenging task,please marry her if u do love her and learn 2 trust her,...good lucky bro'
Hukupata bht ya kulelewa na single mom ndo maana unaongea 2