Single mothers ha2aminiwi cjui kwa nin maskini,inaniuma sana,being a single mom is a chalenging task,please marry her if u do love her and learn 2 trust her,...good lucky bro'
Umenigusa nikajikuta nawaonea huruma sana wadada wenye watoto. Kwa kweli hapa kuna hukumu inatolewa bila haki hawa wadada kwa ujumla hawazai peke yao. Ni sisi wanaume tunawasababishia halafu tunawaacha.
Haya ametokea mtu kampenda tunatoa sababu za kuwatenga mi nadhani hii si haki kabisa.
Cha msingi hapa kwamleta uzi, wewe unamjua mpenzio na ushauri ushapewa kwa hiyo changanya na za kwako songa mbele kwa maamuzi. Cha muhimu awe na mtoto au hana ndoa za siku hizi changamoto zipo tu
Tatu mwanamke akizaa kizazi huwa kinatanuka, au niseme ukubwa wa Kumm@ unaongezeka na huenda ikawa ni vigumu kufika kileleni. Sasa kaka Bikra ukose na raha ya K tamu ya mwanzo kabla kichwa cha mtoto hakijapita pia? Achana nae.
ukiona mwanaume anachangia mada kama hizi kwa kutoa negative efect ujue nae ana mwanamke aliyempa mimba na kisha kumkataa. anajishaua na kujifanya mwema sana. mimi binafsi nakushauria umuoe huyo mdada kama anakufaa mtoto si tatizo. njoo huku tarime uone. mtu anaolewa na unakuta ana watoto hata wanne itakua huyo mmoja
Tatu mwanamke akizaa kizazi huwa kinatanuka, au niseme ukubwa wa Kumm@ unaongezeka na huenda ikawa ni vigumu kufika kileleni. Sasa kaka Bikra ukose na raha ya K tamu ya mwanzo kabla kichwa cha mtoto hakijapita pia? Achana nae.
Tatu mwanamke akizaa kizazi huwa kinatanuka, au niseme ukubwa wa Kumm@ unaongezeka na huenda ikawa ni vigumu kufika kileleni. Sasa kaka Bikra ukose na raha ya K tamu ya mwanzo kabla kichwa cha mtoto hakijapita pia? Achana nae.
daaah!!aisee ndugu jinsi unavyoelezea ndivyo my bro yalimtokea alichokifanya mi sisemi hapa hata kwa dawa
Haya wewe muache amuoe alafu usubirie siku akuage anakwenda kumtembelea mwanae, au usubirie siku umerudi nyumbani unakikuta kidume ndani kwako kishapikiwa na kimekula kikashiba alafu mkeo akakujibu huyu mzazi mwenzangu alikuja kushinda na mtoto wake au alikuja kumchukua mwanae.
Yaani atakuwa hana uhuru na mkewe hata akikuta namba ya simu imepiga mara 10 kwenye simu haukawii kuambiwa nilikua naulizia hali ya mwanangu.
GeniusMkuu kwani umeshakuwa scraper kiasi kwamba umekosa sifa za kujitwalia binti ambaye hakuwahi kuzaa na mwanaume mwenzako? Kuna faida na hasara za kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine!
Faida ni kwamba umeshajua kuwa ana uwezo wa kuzaa kwa hiyo kama huna matatizo ya uzazi mnaweza kupata watoto sita kwa miaka saba kama jamaa mmoja humu ndani!
Faida ya pili ni kwamba ana experience kwenye masuala ya unyumba kwa hiyo atakuwa mkufunzi wako...
Kabla sijasema demerits labda nikukumbushe tu kuwa wanaoolewa kufuata future kwa waume ni hiki kizazi cha digital lakini real women hawafuati future kwa wanaume so ukileta uvivu kitandani na kukosa ubunifu (of which mwenzio ni experienced) tegemea mkeo kusaka hizo 'future' kwa wenzako unaodhani umewazidi 'future'
Watu wenye akili kubwa kama hizi mmeenda wapi mkubwa hamuonekani jamviniLeo kuna watu mnadhani ukishakuwa na kabalance kidogo bank, ukiendesha vogue,nyumbani ukiwa mazaga kwenye fridge na kajumba mjini baaas ni future...Lemme tell you,kuna wanawake wana uwezo pia, taasisi ya ndoa inahitaji zaidi ya hayo....mapenzi ni ujinga ujinga kiongozi, wenye ndoa stable ni wale wajuvi wa ujinga ujinga, unachoita future ni by the way tu!